Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,055
- 17,770
Jamaa alikuwa akisema eti inland cities are not supposed to experience flooding. Sijui hiyo alisomea wapi!Dar-is-a-slum is bigger than Paris and New York, London, Johannesburg and Lagos
Jamaa alikuwa akisema eti inland cities are not supposed to experience flooding. Sijui hiyo alisomea wapi!Dar-is-a-slum is bigger than Paris and New York, London, Johannesburg and Lagos
Hana experience, you know danganyika will never have an inland city in his life timeJamaa alikuwa akisema eti inland cities are not supposed to experience flooding. Sijui hiyo alisomea wapi!
Wewe Komora wewe! Mbona siku hzi ume-abandon ile ID yako kongwe humu?Watanzania wamekua wanyonge ghafla.
🤣🤣 hivyo vitisho.. on ground im sure uhalisia ni zero..hamna chochote.. kwenye maneno 100 ondoka na moja tu 😂..NDINDA naona unanitafuta sana na utanipata tu. Mimi nimepost sehemu ndogo sana ya maisha yangu. Hujui lolote kunihusu sasa unapocheka kwamba nimesomea Maseno university unanishangaza sana. Halafu unasema kwamba sina exposure kwamba nimejifungia ndani yet wiki mbili zilizopita nilipost hapa air ticket yangu nikienda majuu kwa masomo zaidi.
Wewe zaidi ya picha uchwara unayopost hapa hujawahi kupost chochote kuhusu maisha yako. Upo sure umesoma sana kunishinda? Upo sure una kazi nzuri kunishinda? Upo sure una exposure kunishinda? Narudia kwamba nimepost asilimia ndogo sana ya maisha yangu humu.
Sasa wewe endelea kucheka. Tukienda battle ya watu wawili mimi na wewe upo sure utanishinda? Unajua ninafanya kazi gani, kwa kampuni gani? Kama upo willing kuanika maisha yako hata mimi nipo willing kuanika maisha yangu, sasa tuanze battle. Kama unajiamini. Uwache ujinga.
Ashakubali waweke wazi sasa vitisho iko wapi hapo? Huyo NDINDA angekubali tu waweke kila kitu wazi kama anajiamini. But now that you are talking on his behalf says a lot🤣🤣 hivyo vitisho.. on ground im sure uhalisia ni zero..hamna chochote.. kwenye maneno 100 ondoka na moja tu 😂..
nimekumbuka "next time, i wont show you even my nails if you ask for them" 😂
Boss hapa Jf Nina Id mbili coco master na coco rebornWewe Komora wewe! Mbona siku hzi ume-abandon ile ID yako kongwe humu?
Wewe Komora wewe! Mbona siku hzi ume-abandon ile ID yako kongwe humu?
Kwa kawaida.. binadam huwa tunapewa kushow off kitu cha thaman ulichonacho kuzid.. now imagine kaenda sijui kusoma nje.. lkn kapost cheti cha chuo cha maseno 😂😂Ashakubali waweke wazi sasa vitisho iko wapi hapo? Huyo NDINDA angekubali tu waweke kila kitu wazi kama anajiamini. But now that you are talking on his behalf says a lot
Wewe hakuna kitu utaonesha kipya humu ndani, we all know that ka Nairobi and Kenya as a whole are being sorrounded by slums everywhere and every corner of the country, the truth is after every 1 rich person's house there are more than 1,000 mabati houses in Kenya and I can prove it to you through Google earth.Gigiri, Nairobi. Hili jiji halina mpinzani ukanda huu View attachment 2240740View attachment 2240741View attachment 2240742View attachment 2240754
Hii itakuwa ni the most organized City in East and Central Africa upon its completion mana from the scratch ni planned City. Hii picha imewastua wale mbwa wanaopiga kelele za desert environment in Dodoma city.Dodoma inakuja taratibu....
Wazee tukawekeze kwenye huu mjiView attachment 2240844View attachment 2240845
Kama isiolo mazeeDodoma inakuja taratibu....
Wazee tukawekeze kwenye huu mjiView attachment 2240844View attachment 2240845
Weka isiolo tuioneKama isiolo mazee
Kwa kawaida.. binadam huwa tunapewa kushow off kitu cha thaman ulichonacho kuzid.. now imagine kaenda sijui kusoma nje.. lkn kapost cheti cha chuo cha maseno [emoji23][emoji23]
yan umesoma nje ila unapost maseno tena kwa kufichaficha kisijulikane[emoji849][emoji23]
Kibaya zaid naweza kumtrack majina yake na kujua ukweli anayoyasema.. kaonyesha graduation year (12/2015), school aliyosomea (business & economics), na jina lake moja (TONY), huko mtandaon maseno inatoa graduation booklet kila mwaka inaonyesha list ya waliograduate mwaka husika na school husika
View attachment 2240857
😂 kwahiyo umehifadhi tiketi ya ndege toka 2017-18 kwa ajili ya kulingishia kama ulipanda ndegeNilikuwa nazungumza kuhusu 2017-2019 ambapo nilikuwa nje ya nchi kwa masomo zaidi. Nilipost hio air-ticket yangu hapa. NDINDA hajawahi kupost anything personal kuhusu maisha yake lakini anadharau watu wengine.
'After every 1 rich person's house there are more than 1,000 mabati houses', whatever that means ndio hii hapa 😂 😂 😂.Wewe hakuna kitu utaonesha kipya humu ndani, we all know that ka Nairobi and Kenya as a whole are being sorrounded by slums everywhere and every corner of the country, the truth is after every 1 rich person's house there are more than 1,000 mabati houses in Kenya and I can prove it to you through Google earth.
I have always been telling you to mention any county in Kenya and I will show you a slum around it but you always end up hesitating to do that.
So these cherry peeking pictures ain't save u at all.