The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Kwa hivyo Buguruni, Keko, Vingunguti na hayo maeneo mengine ni sehemu moja? Wewe kweli bongolala.Zote hizo ni sehemu moja tena hakuna slums hapo
Nairobi yote ni slums na huwezi kuziondoa kwa kubisha huku jf 😅😅😅
Eti hii ni slums!
View attachment 2240143
View attachment 2240142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo mafundi simu unawaweka level moja na minerals dealers? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We do post picha ambazo tumezipiga sisi wenyewe, ila wenzenu hawaezi commend hata mara moja and it's not like we expect them to. I remember I always like some pictures you post and even leave a positive comment on them, I've never seen you do so. The only person here who I've seen mature enough to leave positive comments ni tuusan otherwise hata upost the best infrastructural project on earth, likes of Geza Ulole chongchung The best 007 will always find a way to demerit 😅SKyscarapercity palikua poa sana Miaka ya 2010s Members wa kikenya wengi wapo abroad kwa hiyo wana exposure na wastaarabu na wanakubali pale wamepigwa,
Member wengi wa Kenya humu wa maseno[emoji1787]J/K hata kama yupo Nairobi hajawahi share picha aliyepiga yeye akiwa hata kwenye matatu[emoji1787] Inamaana wao wanakaa mdani tu kama utumbo hawatoki hata school trip? Au hawana simu zenye kamera?
wakenya Kama Kenguy wa skyscrapercity ni mtu poa sana na alikua anapost hata content za Tz kabla hatujapata members wengi na baadae kuwa na subforum yet. Kule kuna section ya kupost picha za members na wengi tunajuana kwa sura kama umewahi angalia picha ya member mwingine. Na wakenya ambao tumebefriend tukiongea pembeni wapo peace na wanasema kule tunazingua tu. Kazi ipo kwa hawa wenye vyeti hapa [emoji1787]
Kuna Nairoberry humu sijui ndio yule yule wa SSC ila wa humu ni kituko au kwa kuwa humu yupo huru [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Tunaishia hapa.
Kuna wakulungwa wa Kibongo nawakubali sana Skyscrapercity na Humu pia wanatumia Id hizo hizo, Wanatufumbua macho sana Mkuu Bantugbro na Chamoto na Geza Ulole[emoji41]Kudos guys.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] utopolo wao unatisha, mambo yetu sisi ya kijanja, kishua sana, mambo ya kidon hatujibani bani bajeti ya mfuko inaruhusu.Tanzania products [emoji41]
View attachment 2240359View attachment 2240360View attachment 2240361View attachment 2240362View attachment 2240363View attachment 2240364
Kunyaland product [emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2240369View attachment 2240370
Umemaliza mkuu!!SKyscarapercity palikua poa sana Miaka ya 2010s Members wa kikenya wengi wapo abroad kwa hiyo wana exposure na wastaarabu na wanakubali pale wamepigwa,
Member wengi wa Kenya humu wa maseno[emoji1787]J/K hata kama yupo Nairobi hajawahi share picha aliyepiga yeye akiwa hata kwenye matatu[emoji1787] Inamaana wao wanakaa mdani tu kama utumbo hawatoki hata school trip? Au hawana simu zenye kamera?
wakenya Kama Kenguy wa skyscrapercity ni mtu poa sana na alikua anapost hata content za Tz kabla hatujapata members wengi na baadae kuwa na subforum yet. Kule kuna section ya kupost picha za members na wengi tunajuana kwa sura kama umewahi angalia picha ya member mwingine. Na wakenya ambao tumebefriend tukiongea pembeni wapo peace na wanasema kule tunazingua tu. Kazi ipo kwa hawa wenye vyeti hapa [emoji1787]
Kuna Nairoberry humu sijui ndio yule yule wa SSC ila wa humu ni kituko au kwa kuwa humu yupo huru [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Tunaishia hapa.
Kuna wakulungwa wa Kibongo nawakubali sana Skyscrapercity na Humu pia wanatumia Id hizo hizo, Wanatufumbua macho sana Mkuu Bantugbro na Chamoto na Geza Ulole[emoji41]Kudos guys.
Lord Delamere [emoji16]That's what you've been brainwashed to think Kenya's economy is run by wazungu, I'm wondering which wazungu, verify your claims
Mkubwa na mwenye nguvu humlinda mdogoTajiri huwa ana hire watchman.
Thanks for render.
Now accept that you know nothing. This is Paris, an inland city with its streets flooded. Now what excuse do you have?Westen coastal cities sawa but inland city sijawahi ona except for Nairobi
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kweli mzee, kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu. Upepo ukibadilika kwenye maslahi na mtu anakubadilikia na kuamua kuufuata.TBT
Top CIA na KGB visiting each others private homes! Ukraine was non factor by then!
MY TAKE
Kweli Siasa ni mambo ya common interests!
Kwa ajili ya nini?Watanzania wamekua wanyonge ghafla.
Ujinga ni pale mnaleta picha za mafuruko Nairobi, and acting like Dar is immune to such problems. Bongolalas!Kwahiyo kwasababu inatokea western cities, Hilo sio tatizo?, Punguzs ujinga.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huyo umempa za uso vizuri sana
sasa mimi ni-support shoddy work ili iweje angalia hizo lines za yellow halafu uniambie mbona ni-support upuuziu?We do post picha ambazo tumezipiga sisi wenyewe, ila wenzenu hawaezi commend hata mara moja and it's not like we expect them to. I remember I always like some pictures you post and even leave a positive comment on them, I've never seen you do so. The only person here who I've seen mature enough to leave positive comments ni tuusan otherwise hata upost the best infrastructural project on earth, likes of Geza Ulole chongchung The best 007 will always find a way to demerit 😅
I took these yester evening while relaxing.. Mombasa
View attachment 2240579
View attachment 2240583
View attachment 2240585
View attachment 2240587
View attachment 2240590View attachment 2240596View attachment 2240598View attachment 2240606View attachment 2240608View attachment 2240610View attachment 2240612View attachment 2240614
Dar-is-a-slum is bigger than Paris and New York, London, Johannesburg and LagosNow accept that you know nothing. This is Paris, an inland city with its streets flooded. Now what excuse do you have? View attachment 2240652View attachment 2240653View attachment 2240654