Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Image
 
Bado hujatosheka nikuongeze na transcripts?
Leo hiyo ndiyo umepata ujasiri wa kuongelea vyeti, wallahi dunia inazunguka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo hiyo ndiyo umepata ujasiri wa kuongelea vyeti, wallahi dunia inazunguka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I have been talking about certificates since 2021. Kama umechelewa class shauri yako. Tony254 can you remember this discussion.

Screenshot_20220526-125819.png
Screenshot_20220526-125737.png
Screenshot_20220526-125726.png
 
Mkuu usiingie kwenye mkenge, hamna degree holder hapo, mm nmekuwa nikimtesa mda mrefu, hata jana nikawachana sana wakunya hawaoneshi vyeti, huyo mbwa alikuwa mpole kama ilivyo kawaida tunaoongelea suala la vyeti, ila leo baada ya kuomba cheti cha mtu akaanza kuongelea suala la vyeti from nowhere ili niongelee suala la vyeti zen atume humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂 Jamaa wanafurahisha hao
 
Dah, mi sijui kilichotokea manaake Magu mwenyewe alikuwa kama anatuaga na kutoa wosia kila akitoa hotuba.

Ila Uturn waliyoipiga kwenye korona, ilikuwa siyo yakawaida. Halafu wale wote waliokuwa wanampinga Magu mitandaoni, kuanzia yule mama wa BBC, Nape, Januari n.k... ndo wako nae bega kwa bega. Dah, ngumu kumeza aisee.
Utameza hivyo hivyo
 
Wakenya karibuni kwa Utalii baada ya Mtanzania kugundua mabaki ya yule mnyama maarufu kwa ukubwa Dunia aliyepotea miaka mingi iliyopita ..

Inasemekana denosaur alikuwa na uzito wa Tani zaidi ya 68.👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220526-124410.png
    Screenshot_20220526-124410.png
    161.1 KB · Views: 28
Haya mambo ni magumu kuwalaumu tu Wizara ya ardhi siyo fair, kwa maana mara nyingi wanaochukuwa hayo maeneo ni wakubwa sana tena wa mihimili sasa watoa vibali hawawezi kuzuia kitu, Muhindi anakuja na barua kutoka juu kwamba aidhinishiwe mara moja, ofisa ardhi hawezo fanya kitu!
Hawa wakubwa nao ndio hao hao matumbo makubwa kufanya nchi yao. Lakini wanafanya juhudi gani maeneo ya wazi yasiporwe ?

Wao kama maafisa ardhi wanao wajibu jinsi ya kuweza kufanya kulingana na maadili yao ya kazi, professional zao zinaonekan hazifanyi kazi. Watu hawatawaelewa kwamba walishinikizwa kutoa maamuzi kwasbabu hiyo/hizo document siyo officially.
 
Ukipenda kajinyonge. Narudia kwa mara ya tatu kwamba Seychelles is the richest country in Africa. Sitabadilisha kauli yangu kwa sababu chokoraa fulani wa JF anapinga.
Seychelles tops the African continent by far in Per capita index, some people don't know when to draw a line with opposing even facts... There are 155 islands in the archipelago, most of them are not even occupied, you can imagine all the wealth being shared by only 98,000 people. Industry, agriculture,fishing, let alone tourism...they do lots of trading as well. Victoria, the capital with a population of only 26,000... check out the number of ships coming to dock at the horizon, the number of tourist yachts ...this is a big economy per Capita, Kenya could only wish for such..
IMGP0813.jpg
1653560469294.png
 
Back
Top Bottom