Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo hela kwann wanazigawa kwa mafungu?nani aliewaambia wakajengee bwawa la nyerere hela zetu?tunazitaka zote kama ambavyo wabunge huchukua chao punde tu wanapomaliza muhula
Kosa la marehemu ndio katuingiza cha kike kwa mamiradi ya bila mpango...

Kwa mtu anaestaafu leo Kazi anayo yaani ni hasara tupu..
 
Haha kumbe ninyi ni 80k ndio graduates per year?

Tanzania ni zaidi ya hao, angalia loan board inatoa higher education loans kwa New 70k students per year hapo bado more thousands who are not loan beneficiaries

View attachment 2239312
Lakini wewe hua fala ndio maana wewe ni primary school dropout, utacompare aje freshers na graduates. Unajua wanafunzi wangapi hujoin universities na wanakosa kugraduate on time, ooohhh pole huwezi jua challenges za masomo ya University ju wewe ni primary school dropout. Tupatie figures za graduates wacha ujinga trying to compare apples with oranges. Number of Universities tumewazidi by double if not triple.

If she was honest angeyasema hayo aliyoyasema kuhusu covid kipindi jpm alikuwa hai sio unangojea mtu ashakufa ndo unaanza kusema kama anavyofanya ruto kwa uhuru
Stupid..Ayaseme hayo kulikuwa na hafla iliyoandaliwa maalumu kwa ajili ya tuzo ukakuta hajayasema?

Kwanza ukishakuwa marehemu huna chako..
 
Hii trend ya kuonyesha vyeti nimeipenda kiasi...lakini sioni haja pia,Mana kuna watu wana vyeti vizuri lakini miandiko yao sikuzote ni ujinga ujinga tu...tutaku prove kweli ulisoma na ukatoa ujinga kichwani kulingana na namna unavyoweza kung'amua mambo....
Binafsi nisijitaje mtu huwezi kusema mtu kama gezaulole hajasoma...Huwezi kusema walker255 hajaenda shule utakua kichaa. .natoa tu mifano hai
We una cheti chochote kweli isipokua birth certificate? Kama geza na walker 255 ndio benchmark yako ya masomo bado una safari ndefu
 
Attachments

  • Screenshot_20220526-143041.png
    Screenshot_20220526-143041.png
    143.3 KB · Views: 27
Wakati huohuo teargas na cheti chake kizuri lakini kuna Wakati hu act kama class8 pupil...
Mtu Aliesomea molecular biology( Yani mtu yuko kiwango hicho lakini bado hamnazo)
For me I usually return the favor being given four times. If you want to engage me in a serious conversation I'll change tune and engage you maturely. Lakini if you want to be an idiot, I'll lower myself to that level to make the playground same. I'm a frequent contributer in Nairaland and Skyscrapercity and trust me, you can't detect me in those forums if you want to use how I argue in JF as a comparison. In Nairaland and Skyscrapercity people argue maturely using facts and not empty words like what most Tanzanians do here. Again kule hakuna kupingana na facts venye nyinyi mnapingana na hadi za serikali yenu.
 
Lakini wewe hua fala ndio maana wewe ni primary school dropout, utacompare aje freshers na graduates. Unajua wanafunzi wangapi hujoin universities na wanakosa kugraduate on time, ooohhh pole huwezi jua challenges za masomo ya University ju wewe ni primary school dropout. Tupatie figures ya graduates wacha ujinga trying to compare apples with oranges. Number of Universities tumewazidi by double if not triple.

Kama jamaa anaexpect 100% transition from admission to graduation in university inamaanisha hajawahi fika chuo kikuu huyu. Its very easy to tell.
 
Lakini wewe hua fala ndio maana wewe ni primary school dropout, utacompare aje freshers na graduates. Unajua wanafunzi wangapi hujoin universities na wanakosa kugraduate on time, ooohhh pole huwezi jua challenges za masomo ya University ju wewe ni primary school dropout. Tupatie figures za graduates wacha ujinga trying to compare apples with oranges. Number of Universities tumewazidi by double if not triple.

Of course mimi ni form 4 leaver lakini wewe kichaa wa University huwezi niambia kitu 😅😅😅
 
Kwa ivo mnajilaumu wenjyewe, "This should be a National treasure but because it was discovered by a Tanzanian..." Ivi mnataka archeologist mzungu wa nje aka discover ndivo mkaienzi kama national treasure, sio?

Twende tukamuenzi m'bantu mwenzetu.
 
For me I usually return the favor being given four times. If you want to engage me in a serious conversation I'll change tune and engage you maturely. Lakini if you want to be an idiot, I'll lower myself to that level to make the playground same. I'm a frequent contributer in Nairaland and Skyscrapercity and trust me, you can't detect me in those forums if you want to use how I argue in JF as a comparison. In Nairaland and Skyscrapercity people argue maturely using facts and not empty words like what most Tanzanians do here. Again kule hakuna kupingana na facts venye nyinyi mnapingana na hadi za serikali yenu.
Sasa unasubiri nini hapa JF c uondoke? Kwann unatumia muda mwingi kuwa jf kuliko nairaland na skyscraper city mbwa wewe.
 
Back
Top Bottom