Botanical garden haijamegwa labda uniambie gymkhana Southern sun iko upande mwingine wa Botanical gardenKuna Chuo kimemega, kuna Hotel pia nafikiri ni Southern sun kama sikosei wamemega na jengo lingine pia hapo pembeni pia limemega eneo la botanic garden!
Hata ukumbi wa wa Mikutano ya Kimataifa zilipo ofisi ya Mambo ya nje wamemega pia eneo la wazi, ubalozi nafikiri ni wa Denmark walimega pia eneo la wazi.
Original map ya Dar kuna Park kubwa sana ina extend mpaka Baharini hata ilipo Serena yote ni eneo la wazi, hata ufukwe wa Posta ya zamani mbele ya makanisa Azania front na St.Joseph ukivuka barabara wakati wa Ukoloni ilikuwa ni park ng‘ambo tu ya barabara ina extend mpaka feri !
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app










