Wewe huwa unatudanganya kwamba umefika chuo kikuu. Kwa hivyo Universities za Tanzania haziwapi transcripts nne na degree certificate baada ya kugraduate? Mimi nina transcripts nne (ya first year, ya second year, ya third year na ya fourth year) Kisha nina degree certificate ambayo sijawahi kupost hapa. Wewe hujafika university kama hujui transcript ni nini na kama hujui kwamba mtu hupewa transcript ya kila mwaka aliyosoma. Mimi nilisoma miaka minne undergrad na ndio maana nina transcripts nne.
Na ujuwe hapa sizungumzii certificates zangu za CPA kwa sababu body inayotahini watahiniwa wa CPA ni body tofauti ya kitaifa inaitwa KASNEB (Kenya Accountants and Secretaries National Examinations Board).
Mimi ni mtu hata kama singeenda university, CPA niliyosoma pekee imenitosha kuandikwa kazi kama accountant. Watu wengi ninaofanya kazi nao wamesomea CPA pekee na wala hawajaenda chuo kikuu na wana kazi nzuri. Chuo kikuu nilienda kusomea uchumi na niliweka transcripts zangu hapa. Mtu aliye na degree pekee yupo sawa, aliye na CPA pekee yupo sawa, ila aliye na qualifications zote mbili ni hot cake.