Humu watu huwa tunajibu jinsi na mtu anavyokuja, Wakenya wengi hawana adabu kulingana na maisha yao yalivyo. Ukitaka kujifanya mstaarabu ukiwa una debate na mkenya popote pale juwa kwamba unapoteza muda wako bure.Hii trend ya kuonyesha vyeti nimeipenda kiasi...lakini sioni haja pia,Mana kuna watu wana vyeti vizuri lakini miandiko yao sikuzote ni ujinga ujinga tu...tutaku prove kweli ulisoma na ukatoa ujinga kichwani kulingana na namna unavyoweza kung'amua mambo....
Binafsi nisijitaje mtu huwezi kusema mtu kama gezaulole hajasoma...Huwezi kusema walker255 hajaenda shule utakua kichaa. .natoa tu mifano hai
Watabadili gear mda c mrefu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haha kumbe ninyi ni 80k ndio graduates per year?
Tanzania ni zaidi ya hao, angalia loan board inatoa higher education loans kwa New 70k students per year hapo bado more thousands who are not loan beneficiaries
View attachment 2239312
Mbona kama mnakinzana hivi...We unazungumzia walioko vyuoni wanaonufaika na mkopo yeye anazungumzia waliomaliza vyuo vikuu kenya...kwa kifupi tu hatuwafikii kabisa...tuko 48k hivi..Tuambiane ukweliHaha kumbe ninyi ni 80k ndio graduates per year?
Tanzania ni zaidi ya hao, angalia loan board inatoa higher education loans kwa New 70k students per year hapo bado more thousands who are not loan beneficiaries
View attachment 2239312
Nairobi inavuliwa nguo na huyu mmarekani huko YouTube aisee [emoji1787]
Kaanika slums zote peupe [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna video juzi kati aliifanya akamwambia black American mwenzie kwamba Nairobi ni kuzuri kuliko Dar na ukienda Nairobi hurudi Dar, sasa sijui ni kituko gani hiki kaenda kukutana nacho yarabi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mm nawaambia na hata yeye mwenyewe teargas anajua kwamba anaongopa, ila kama anaongopa ili ajifurahishe sawa.Wakati huohuo teargas na cheti chake kizuri lakini kuna Wakati hu act kama class8 pupil...
Mtu Aliesomea molecular biology( Yani mtu yuko kiwango hicho lakini bado hamnazo)
Kabisa mkuu...kuna huu ujinga wa daily dosage ya expressway [emoji1787][emoji1787][emoji1787] imagine graduate anasherehekea expressway everyday all days...Kenya ziko project ngap za maana lakini mmestuck na expressway...Humu watu huwa tunajibu jinsi na mtu anavyokuja, Wakenya wengi hawana adabu kulingana na maisha yao yalivyo. Ukitaka kujifanya mstaarabu ukiwa una debate na mkenya popote pale juwa kwamba unapoteza muda wako bure.
Sisi wengine tuna michango yetu adhimu kwenye majukwaa mengine ukiacha humu japo humu pia huwa tunatoa michango yetu, nina I'd mbili humu pia nina michango yangu mujarabu, issue co cheti bali issue akili ya mtu.
Unazungumzia wenye degree au chuo kama chuo.Mbona kama mnakinzana hivi...We unazungumzia walioko vyuoni wanaonufaika na mkopo yeye anazungumzia waliomaliza vyuo vikuu kenya...kwa kifupi tu hatuwafikii kabisa...tuko 48k hivi..Tuambiane ukweli
Humu watu huwa tunajibu jinsi na mtu anavyokuja, Wakenya wengi hawana adabu kulingana na maisha yao yalivyo. Ukitaka kujifanya mstaarabu ukiwa una debate na mkenya popote pale juwa kwamba unapoteza muda wako bure.
Sisi wengine tuna michango yetu adhimu kwenye majukwaa mengine ukiacha humu japo humu pia huwa tunatoa michango yetu, nina I'd mbili humu pia nina michango yangu mujarabu, issue co cheti bali issue akili ya mtu.
Sasa unamuhadithia nani story yako?Huyu Black American nimemfuatilia sana wakati nipo nyumbani na hii weekend iliyopita niliwatch video zake kadhaa youtube. Kapigwa kalamu katika kazi nzuri aliyokuwa nayo hapa Nairobi kwa sababu ya kutoa maneno machafu mbele ya wanafunzi. Alikuwa anafundisha katika International school of Kenya na alikuwa analipwa $60,000 per year ambayo ni pesa nyingi sana. Shule hii ni ya matajiri sana, sio shule ya kawaida. Sasa Black Americans wana tabia mbaya ya kutumia maneno machafu kama f*ck, sh*t, motherf*cker na kadhalika.
Alidhani ataleta ughetto wa USA hapa Kenya. Sasa mzungu aliyempiga kalamu alipomuambia kwamba atamlipia gharama zote za usafirishaji ili arudi USA, akakataa akasema anataka kubaki Kenya. Sasa amepeleka shule hio mahakamani kwa sababu anataka kulipwa fidia ya kufutwa kazi. Hii hadithi yote yeye ndio kaeleza kwenye video yake. Ameishi Kenya zaidi ya miezi sita sasa. Amekwama Nairobi na hata juzi alikuwa Tanzania akawatukana sana Watanzania kwamba nyie ni lazy. Mimi mwenyewe nilipost hio video hapa akisema wanaume wa TZ ni wazembe sana kushinda Wanaume wa Kenya.
Tena tofauti kabisa.Kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti kabisa.
😂😂😂😂😂 Huyu mmarekani mpumbavu kweli alifikiri kunyaland yote ni kama Westlands 😂😂😂 kaenda ushenzini analalama na bado hajafika mathare wala kariaduduVip naona leo umeanza kujihami kwa kumponda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji90][emoji90]kama ulikuwa unamfuatilia mbona ukumponda ulipo post video akisema sisi ni wazembe[emoji1787][emoji1787]. Mkunya akisikia tu mtu anakwenda kenya kutembelea makazi yao ya kawaida ndiyo unakuwa mwisho wa kumsifia huyo mtu na chuki zinaanza
Kwa ivo mnajilaumu wenjyewe, "This should be a National treasure but because it was discovered by a Tanzanian..." Ivi mnataka archeologist mzungu wa nje aka discover ndivo mkaienzi kama national treasure, sio?Wakenya karibuni kwa Utalii baada ya Mtanzania kugundua mabaki ya yule mnyama maarufu kwa ukubwa Dunia aliyepotea miaka mingi iliyopita ..
Inasemekana denosaur alikuwa na uzito wa Tani zaidi ya 68.👇
Acha povu,itatunzwa maalumu kwa ajili ya high end tourism..Kwa ivo mnajilaumu wenjyewe, "This should be a National treasure but because it was discovered by a Tanzanian..." Ivi mnataka archeologist mzungu wa nje aka discover ndivo mkaienzi kama national treasure, sio?