The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Hili ndio jiji la kisasa mana lina qualify kuwa jiji la kisasa, lina infrastructures za kisasa. Co mtu unaita jiji la kisasa alafu halina infrastructures za kisasa




Kariakoo nzima ina ghorofa za above 10 floors zaidi ya 500 no wonder it's the home of high rises in East and Central Africa.Hii ndio Kariakoo sasahizo gorofa zipo karibu 50 na karibu zote ar over ten storeysView attachment 2238725
Kwasababu mnaifuatilia sn Tz kuliko nchi yoyote duniani.Why dont Kenyans just support their ownView attachment 2238795
Baba wa miundombinu Africa.

Because we don't celebrate mediocrity.Kama uhuru kajenga barabara mbona asiitwe kupewa tuzo? Au nyie mko Asia
Mbona President wa Egypt hakupewa yet he is the most infrastructure oriented president in Africa? That should just tell you that hiyo award ni kama peremende ya kudanganya watoto.Angepewa tuzo Uhuru sasa![]()
Soja ongea tu hapa na bado hujui kama mwezi ujao utaingia kazi au la.
Nyinyi hata hizo render ndio hamna🤣🤣😂Asante kwa render.
Kawaambie wabadilishe wampe huyo wa Egypt ili usipate vidonda vya tumboMbona President wa Egypt hakupewa yet he is the most infrastructure oriented president in Africa? That should just tell you that hiyo award ni kama peremende ya kudanganya watoto.







Nobody cares about that thing. One thing we all know is that Uhuru in ten years has built more roads than what the colonial and all Tanzanian Presidents done combined.Kawaambie wabadilishe wampe huyo wa Egypt ili usipate vidonda vya tumbo![]()
Watakuwa wamemtonya, awe anasema ukweli. Mitandaoni huko wakina Ayo kila wakimsifia kiunafiki, wabongo wanacomment kuwa ilikiwa kazi ya Magu.Ninachompendea Samia ni moja ya hiki, she is very honest, she is very transparent, she is very humble, she is very loyal, she gives credit and not taking the glory which is not belongs to her. Sasa shida sometimes akisema ukweli kuna watu wananuna eti ooh anaua legacy…..![]()
Hivi unajua Uhuru Park na Nairobi National park viimemegwa kiasi gani kipindi hiki cha Uhuru?Ninachojua kwa mfano Nairobi walifight sana kuokoa hizo parks tayari wanasiasa walishazichukuwa kutaka kujenga skyscrapers, kuna yule mama mpaka alipata nobel prize hivyo siyo rahisi ni mwamko hata sisi tunahitaji mwamko mfano sasa hivi hata Coco beach tunaenda kuipoteza kwa maana tayari Manji alishaanza kupiga uzio Lukuvi akampiga biti, hivyo ni swala la muda tu Coco beach itaenda pia!
Mwendazake alikuwa akiji-acknowledge yeye tu miradi ya Kikwete!Ninachompendea Samia ni moja ya hiki, she is very honest, she is very transparent, she is very humble, she is very loyal, she gives credit and not taking the glory which is not belongs to her. Sasa shida sometimes akisema ukweli kuna watu wananuna eti ooh anaua legacy…..![]()
Hivi unajua Uhuru Park na Nairobi National park viimemegwa kiasi gani kipindi hiki cha Uhuru?
Ila Huyu Bwn Tony254 anakaa mtu wa Western si Mumbi huyu! Mumbi ni mwathadan, MK254 na Teargas (anaweza kuwa Mkalee pia)!Sidhani Kama umefikia chuo Kikuu wewe, uwezo wako wa akili unatia shaka, labda chuo ulichofika ni chuo Kikuyu lakini sio chuo Kikuu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Pita tena hata Nairobi green park terminal ni recreation park imeporwa!Sijajua, sijafika huko muda mrefu, watakuwa wajinga sana kama wamefanya hivyo baada ya kazi kubwa iliyofanyika kuitetea na hata kuiboresha hiyo park!
Sasa angepewa tuzoNobody cares about that thing. One thing we all know is that Uhuru in ten years has built more roads than what the colonial and all Tanzanian Presidents done combined.







