Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nearly every Kenyan can't afford a decent meal a day. Even with whichever shitty items affordable, still most Kenyans go to be hungry or never having had enough to eat.

Kenyans are shamefully poor and for this reason, I don't see the essence of constructing such infrastructural projects when millions die of hunger.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Upper cut la kibabe 🤣✂️
 
Haya Mambo huko Kenya ni mara kumi ya haya yanayofanyika Tanzania, pamoja na kuandika Katiba mpya, mkuu hili suala la Katiba mpya halina maana Sana kwa watanzania wa kawaida, hiyo ni zaidi kwa ajili ya "politicians".

Katiba haina polisi Wala jeshi la kusimamia matakwa yake, kiongozi anaweza kutotekeleza Katiba na hakuna lolote litatokea, Magufuli alipoamua kupiga marufuku mikutano ya vyama vya Siasa konyume kabisa na Katiba ya nchi, Je hiyo Katiba ilisaidia nini kuhakikisha utawala wa kisheria unakuepo?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kuna vitu vingi mim naona katiba mpya iongeze. Mfano mapendekezo yangu ni yafuatayo
1. Eti Makamu wa Rais awe Rais pale Rais mwenyewe anapofariki. Hii ifutwe..
2. CAG awe huru kueleza madhaifu yoyote ya matumiz ya fedha za umma hata kwa kipind cha rais aliepo madarakan... na Rais asiwe na mamlaka ya kumwondoa CAG, CAG aondolewe kwa kura bungen na si kwa matakwa ya Rais
3. Suala la mbunge fulan kuacha/kuhama chama, basi yule alieshika nafas ya pili aapishwe moja kwa moja..kuepusha kutumia tena hela kwa ajili ya uchaguz mwingine
4. Au endapo umebaki mwaka mmoja (au plus na miez6) kuelekea uchaguzi mkuu na mbunge akaacha ubunge, hilo jimbo lisubirie mbunge mpya mpk uchaguzi mkuu.. nilishangaa sana mwaka 2019 kuna mbunge aliacha ubunge afu eti wakafanya uchaguz wa mbunge mwingine wakat 2020 kuna uchaguzi mkuu
5. Katiba ya sasa inampa madaraka makubwa sana Rais. Siku Rais akiwa kichaa tutajuta kwa kumpa hayo madaraka makubwa

Na mengine mengi tu. Ila kiufupi madaraka ya Rais yadhibitiwe na suala la fedha za umma, padhibitiwe.. fedha zizitumike hovyohovyo, kwenye uovu CAG awe huru kutaja maovu
 
Nairobi
FMfhjQZX0AAmEyc%20(1).jpg
E1MrYTGXEAQNTuU.jpg
DWluLvTXkAApZmQ.jpg
EY1Z4PJWkAA6Kyf.jpg
ETc2edpXsAAUIFY.jpg
download%20(73).jpg
download%20(68).jpg
 
Tanzania Air forceView attachment 2236306
KAFView attachment 2236307View attachment 2236308
Na hawaja update hio list
Tunazo C145 Skytrucks View attachment 2236321
View attachment 2236319

Bell Huei II helicopters
View attachment 2236324
Wame indicate MD 500 yu ila poa kunazo MD 530
View attachment 2236325

Niko sure hio lost haina aircraft nyingi hayo tu nimenotice
Kenya has only 5 fixed wings fighter jets, F-5, very old can't do anything in the field of war, actually for the safety of your pilots, these fighter jets are supposed to be grounded by now.

One of your fighter jets was shot by Alshababs by using normal RPG, Alshababs don't have ground to air missiles, it is a shame for a fighter jet to be brought down by RPG

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kuna vitu vingi mim naona katiba mpya iongeze. Mfano mapendekezo yangu ni yafuatayo
1. Eti Makamu wa Rais awe Rais pale Rais mwenyewe anapofariki. Hii ifutwe..
2. CAG awe huru kueleza madhaifu yoyote ya matumiz ya fedha za umma hata kwa kipind cha rais aliepo madarakan... na Rais asiwe na mamlaka ya kumwondoa CAG, CAG aondolewe kwa kura bungen na si kwa matakwa ya Rais
3. Suala la mbunge fulan kuacha/kuhama chama, basi yule alieshika nafas ya pili aapishwe moja kwa moja..kuepusha kutumia tena hela kwa ajili ya uchaguz mwingine
4. Au endapo umebaki mwaka mmoja (au plus na miez6) kuelekea uchaguzi mkuu na mbunge akaacha ubunge, hilo jimbo lisubirie mbunge mpya mpk uchaguzi mkuu.. nilishangaa sana mwaka 2019 kuna mbunge aliacha ubunge afu eti wakafanya uchaguz wa mbunge mwingine wakat 2020 kuna uchaguzi mkuu
5. Katiba ya sasa inampa madaraka makubwa sana Rais. Siku Rais akiwa kichaa tutajuta kwa kumpa hayo madaraka makubwa

Na mengine mengi tu. Ila kiufupi madaraka ya Rais yadhibitiwe na suala la fedha za umma, padhibitiwe.. fedha zizitumike hovyohovyo, kwenye uovu CAG awe huru kutaja maovu
Usisahau

-Rais kuondolewa kinga mana hii kinga ya rais inampa jeuri ya kufanya anavyoweza pasipo kuwajibishwa pindi anapostaafu.

-Wakuu wa mikoa na wilaya wachaguliwe na wananchi. Yani hapa ndipo chanzo kikubwa cha kuwa na serikali mbovu pindi tunapopata incompitent president. Lakini pia wakuu wa mikoa na wilaya kuchaguliwa na Rais ndio chanzo kikubwa cha mapambio ya kipumbavu yanayomuharibu Rais kisaikolojia akidhani anapendwa kumbe sio kweli na ni wahovyo.

-Tume ya uchaguzi iwe huru kwa kuundwa na Makada wa vyama vyote Yani chama tawala na vyama vya upinzani.

-Kigezo cha kugombea ubunge kisiwe kujua kusoma na kuandika kiwe ni kuanzia degree kwasababu haiwezekani umewekwa na wananchi uwatetee alafu wewe mwenyewe kujitetea hujui kutokana na inferiority complex ya kukosa shule.

Yapo mengi mengi mengi mno ya kubadilishwa kwenye katiba hili la zama za mawe, na kiukweli katiba mpya haikwepeki piga ua lazima itokee.
 
Nearly every Kenyan can't afford a decent meal a day. Even with whichever shitty items affordable, still most Kenyans go to be hungry or never having had enough to eat.

Kenyans are shamefully poor and for this reason, I don't see the essence of constructing such infrastructural projects when millions die of hunger.
Ooohhhh, nice upper cut [emoji109][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Give us the official numbers of those who died of hunger since 1980s.

Kenyans and hunger are twins - if you wanna know how hunger looks like just look at any Kenyan near you.

View attachment 2236235

A genuine epitome of poor diet from childhood.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
F5 ni ndege ya zamani sana kijana watu sasa hivi wako kwenye F16 angalau kidogo iko modern na F17 F35 .

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hio ndege ya zamani ndio airforce zingine wanatumia hadi wa leo ju ni ndege imekua tested kwa vita, hadi NASA wameitumia. Hizo ndege zenu bandia hazijawai tumiwa kwa vita yeyote ndio maana zinauzwa bei ya kutupa na Airforce mingi wamezikataa.
38 Northrop F 5 Tiger Photos and Premium High Res Pictures - Getty Images
 
Kenya airforce ina 150 aircrafts wakati Tanzanian airforce ina 40 aircrafts so hawa airforce yao ni ya utoto tu hata airforce ya Uganda imewashinda kwa mbali. By the way pia tuna Spartan transport aircraft 3 tulinunua kutoka Italy na sijaiona kwa hio list.
View attachment 2236337
View attachment 2236338
Back bone of any Air force is fighter jets, not all carriers or Helicopters, all those planes can't fight and win the war, just to give supports to ground forces by transporting supplies.

Kenya you have no more than 5 - fighter jets, F-5 which are very old and outdated. Uganda is superior on Air force because they have 6 fighter jets SU-30, almost brand new, followed by Tanzania has 14 brand new J-7, followed by Kenya has very old 5 fighter jets F-5, very old, followed by Rwanda which has only fighter Helicopters, Rwanda doesn't have fighter jets, lastly is Burundi which has very old fighter Helicopters.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kizuiri chajiuza kibaya chajitembeza. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hata simu za china hua na superior specs hivi tu lakini kila mtu anajua how it usually ends.

Nairobi expressways na SGR yenyu usisahau ni vitu vya kichina so usisahau kuweka hayo maandishi ya mwisho ya "how it usually ends"
 
Yeye alikua kwenye presidential suite kwenye hiyo hotel. Ni nouma!

Just imagine, Yeye yuko sijui Ghana, Vice president yuko Switzerland na ni juzi tu huyu Vice alikua huko Uarabuni akihudhuria Misa kwemye lanisa gani sijui!
Nakwambia hivi kuna watu huwa wanakamia kwamba siku ikitokea nikawa Rais watu watanikoma huko nje, nitazunguka dunia yote, hivi ndani ya mwaka 1 ameshakwenda nchi ngapi, atavunja records za mkwere muda si mrefu.

Hapo ameondoka na watu kibao, kila kitu wanagharamiwa na serikali mbali na per diem zao.

Sasa kama anajitambulisha mbona hatuoni wao wakija kwetu au nchi jirani, kwanini yeye tu? Usishangae akarudi US kwenye mkutano wa matajiri unaofanyika hivi karibuni maana utawajumuisha na watu wengine.
 
Back
Top Bottom