Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanapenda jokes.

IMG_1796.jpg
 
Kama ni kweli hii habari inasikitisha sana, kwahiyo alikodi hotel nzima mwenyewe?
Hizi gharama kwa uchumi wetu huu?

Yeye alikua kwenye presidential suite kwenye hiyo hotel. Ni nouma!

Just imagine, Yeye yuko sijui Ghana, Vice president yuko Switzerland na ni juzi tu huyu Vice alikua huko Uarabuni akihudhuria Misa kwemye lanisa gani sijui!
 
Kwa wenye magari.. mfano yangu full tank ni litres 93.. nilikuwa najaza mara mbili full tanks kwa almost 460k ( 230k×2)
Saiz najaza full tank mara mbili kwa almost 630k

Sasa difference hapo ni almost 170k.. ambao ni kulekule kwenye ongezeko, so ongezeko lote limeenda kwenye mafuta (kwa wafanyabiashara na serikal)
Sasa hapo bado gharama zingine vya vyakula, ujenzi, etc. 2025 mtalii akapumzike
 
Nyie wenzetu sijui nani kawaroga.
Wame suspend kuanza kutumia Green Park Terminal until further notice (indefinitely). Ilitakiwa waanze kutumia rasmi tarehe 24 May yaani kesho. .


 
Back
Top Bottom