Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Back bone of any Air force is fighter jets, not all carriers or Helicopters, all those planes can't fight and win the war, just to give supports to ground forces by transporting supplies.

Kenya you have not more than 5 - fighter jets, F-5 which are very old and outdated. Uganda is superior on Air force because they have 6 fighter jets SU-30, almost brand new, followed by Tanzania has 14 brand new J-7, followed by Kenya has very old 5 fighter jets F-5, very old, followed by Rwanda which has only fighter Helicopters, Rwanda doesn't have fighter jets, lastly is Burundi which has very old fighter Helicopters.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Ukiwaambia ukweli hawasikii.
 
Sasa kamba gani wakati umesema kuwa dar utumbo unauzwa juu kwa juu , mm najua dar kukuta utumbo buchani ni ndoto ,utumbo ni kama kongoro tu uwezi kuzikuta buchani isipokuwa machinjioni na kwenye vibanda maalumu . Labda useme nimekosea nilipo sema tz ...ila mm nilimaanisha dar ..kwadaa hadi kuna vibanda vya utumbo tu .buchani awataki shombo ya utumbo igusane na nyama
Yaah kwa Dar ulikua sahihi ila sio Tz yote
 
Bandia lakini hizo F5 zenyu zimeachwa mbali sana.
Yaani hamna chochote mjachojua humu zaidi ya uongo wa kijinga na ubishi wa kikunya.
Endelea kulazimisha udongo kuwa unga.
Hizo ndege bandia zimekataliwa dunia mzima, na zinauzwa kwa bei ya kutupa. 🤣 🤣 🤣
 
Back bone of any Air force is fighter jets, not all carriers or Helicopters, all those planes can't fight and win the war, just to give supports to ground forces by transporting supplies.

Kenya you have not more than 5 - fighter jets, F-5 which are very old and outdated. Uganda is superior on Air force because they have 6 fighter jets SU-30, almost brand new, followed by Tanzania has 14 brand new J-7, followed by Kenya has very old 5 fighter jets F-5, very old, followed by Rwanda which has only fighter Helicopters, Rwanda doesn't have fighter jets, lastly is Burundi which has very old fighter Helicopters.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa ona unavyoongea ni kama huna akili. Kenya ina 17 fighter jets. Sasa nenda kalilie chooni.
 
Kuna vitu vingi mim naona katiba mpya iongeze. Mfano mapendekezo yangu ni yafuatayo
1. Eti Makamu wa Rais awe Rais pale Rais mwenyewe anapofariki. Hii ifutwe..
2. CAG awe huru kueleza madhaifu yoyote ya matumiz ya fedha za umma hata kwa kipind cha rais aliepo madarakan... na Rais asiwe na mamlaka ya kumwondoa CAG, CAG aondolewe kwa kura bungen na si kwa matakwa ya Rais
3. Suala la mbunge fulan kuacha/kuhama chama, basi yule alieshika nafas ya pili aapishwe moja kwa moja..kuepusha kutumia tena hela kwa ajili ya uchaguz mwingine
4. Au endapo umebaki mwaka mmoja (au plus na miez6) kuelekea uchaguzi mkuu na mbunge akaacha ubunge, hilo jimbo lisubirie mbunge mpya mpk uchaguzi mkuu.. nilishangaa sana mwaka 2019 kuna mbunge aliacha ubunge afu eti wakafanya uchaguz wa mbunge mwingine wakat 2020 kuna uchaguzi mkuu
5. Katiba ya sasa inampa madaraka makubwa sana Rais. Siku Rais akiwa kichaa tutajuta kwa kumpa hayo madaraka makubwa

Na mengine mengi tu. Ila kiufupi madaraka ya Rais yadhibitiwe na suala la fedha za umma, padhibitiwe.. fedha zizitumike hovyohovyo, kwenye uovu CAG awe huru kutaja maovu
Haya uliyoyasema mengi yamo ndani ya Katiba ya Sasa, machache ambayo hayamo, Wala hayahitaji kuandika Katiba mpya, yanahitaji tu kufanyiwa marekebisho na kuingizwa ndani ya Katiba ya Sasa.

Mkuu, Katiba ni kitu hai ambacho kila siku au mwaka Kuna mabadiliko hutokea, ni lazima kuyatoa na kuingiza mapya ili kukidhi matakwa mapya ili kujibu changamoto mpya.

Mkuu, Katiba mpya sio muarubaini wa matatizo, Kenya waliandika Katiba mpya, miaka kumi baadae wanaona haina maana kwasababu haikujibu shida zao wanataka ifanyiwe marekebisho(BBI).

Mkuu, Katiba ni Kama binadamu, akishazaliwa, wazazi wanapaswa kumlea, kumtibu pale anapoumwa na kumrekebisha pale anapokosea, sio kumuacha na kuzaa mtoto mwengine.

Mkuu, unaweza kunipa mfano wa nchi yoyote ambayo imepiga hatua ya kimaendeleo, umoja, utulivu na mshikamano hapa duniani kwa kubadili Katiba?.





Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nairobi expressways na SGR yenyu usisahau ni vitu vya kichina so usisahau kuweka hayo maandishi ya mwisho ya "how it usually ends"
SGR na Expressway zitaenda vita ama? Infrastructure kama hizo wametengenezea nchi mingi lakini ikifika kwa ndege za vita dunia mzima imekataa. 🤣🤣🤣 Ni nyinyi tu na nchi kama bangladesh ndio wateja wao. Yani hata France wanauza ndege mingi za kivita than hizo ndege bandia.
 
Kwa vita ya Somalia VS Ethiopia, F5 E za Ethiopia ziliangusha hizi Mig 21 zenu tisa while no F5 E was shot, yani a 9 - 0 victory. Kwa Iraq vs Iran war it ended in a draw with 4 jets lost for each side. Iraq later retired all 80 F7 yani zote kabisa kwa fleet while Iran still operates their F5 E/F till date. Sasa wewe nionyeshe any war yenye hizo Mig-21 mwitu ilishinda any F5's.
Wacha kujiliwaza, tafuteni fighter jets za kisasa Dunia imebadilika Sana, Teknolojia imebadilika Sana, achaneni na hizo scrapers

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Usisahau

-Rais kuondolewa kinga mana hii kinga ya rais inampa jeuri ya kufanya anavyoweza pasipo kuwajibishwa pindi anapostaafu.

-Wakuu wa mikoa na wilaya wachaguliwe na wananchi. Yani hapa ndipo chanzo kikubwa cha kuwa na serikali mbovu pindi tunapopata incompitent president. Lakini pia wakuu wa mikoa na wilaya kuchaguliwa na Rais ndio chanzo kikubwa cha mapambio ya kipumbavu yanayomuharibu Rais kisaikolojia akidhani anapendwa kumbe sio kweli na ni wahovyo.

-Tume ya uchaguzi iwe huru kwa kuundwa na Makada wa vyama vyote Yani chama tawala na vyama vya upinzani.

-Kigezo cha kugombea ubunge kisiwe kujua kusoma na kuandika kiwe ni kuanzia degree kwasababu haiwezekani umewekwa na wananchi uwatetee alafu wewe mwenyewe kujitetea hujui kutokana na inferiority complex ya kukosa shule.

Yapo mengi mengi mengi mno ya kubadilishwa kwenye katiba hili la zama za mawe, na kiukweli katiba mpya haikwepeki piga ua lazima itokee.
Sasa hivi si unaona wameambiwa live bila chenga mbona hamumsifii kiongozi mkuu?Wakuu wa mikoa na Wilaya watakuwa wameona ya nini kusifia ujinga?
 
Render kama reality.
15460707_tapatalk1653069018139_jpegb648ac3e533e9ff7517eac0f06a21ca0.jpeg
15460708_tapatalk1652968299340_jpeg_jpeg01adda0d13c9366f92e4a7b55635d0bb.jpeg
15460709_tapatalk1652968296018_jpeg_jpeg79d541723154c23d2e813c67e3f56e35.jpeg
 
Back
Top Bottom