Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

THE DOSE
1653332510113.png
 
Wewe unaishi wap?
Unakamba sana we jamaa...
Moshi ukienda buchani unakatiwa nyama unayotaka plus utumbo...Huku dar ndio nashangaa utumbo unauzwa juu kwa juu
Sasa kamba gani wakati umesema kuwa dar utumbo unauzwa juu kwa juu , mm najua dar kukuta utumbo buchani ni ndoto ,utumbo ni kama kongoro tu uwezi kuzikuta buchani isipokuwa machinjioni na kwenye vibanda maalumu . Labda useme nimekosea nilipo sema tz ...ila mm nilimaanisha dar ..kwadaa hadi kuna vibanda vya utumbo tu .buchani awataki shombo ya utumbo igusane na nyama
 
hii habari wakenya hawataipenda 😂😂

You're now publicly begging Apple to come open an Apple shop in Tanzania, to sell phones designed in California and manufactured in China.
Bongolala hatari. 🤣 🤣 🤣

And I doubt Apple will invest a couple of million dollars on a store to then sell 3 phones.
Stick to your refurbished iPhones from overseas.
 
mbona una panic sana 😂😂 nilisema hii habari haiwezi kua nzuri kwenu au hukunielewa
 
Kwenye ulaji daily wa kuku Tanzania ni 34% while kunyaland ni 3% halafu bado ndio most preferred meat kuliko beef, sasa tukisema kwenye beef Tanzania itakua 500% zaidi ya kunyaland

View attachment 2235703
If consumption of chicken stands at 3.6% at regional level and the same percentage stands at 92% domestically, then, generally, MEAT is sacrosanct in Kenya.

Those statistics tell a very horrible story of poverty and how so poor are Kenyans.
 
Back
Top Bottom