dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
REAL Comrade Kipepe. mzidi tu kuji console eti kenya kuna njaa. hao waturkana wachache mnao waona kwenye tv hata hawafiki lakh moja.! sasa kwenu hao ndo wanawakilisha kenya mzima katika swala la njaa. heb muulize Shebby01 kama ashawai ona dalili ya njaa kenya ukiondoa hao waturkana


