chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,676
- 45,907
Nyama waionee wapi? 😂😂😂😂Kumbe ndiyo maana wana utapiamlo hawali nyama, wao ni sukuma wiki na ugali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chakula chao kikuu ni sukuma na githeri, huoni nyama kwenye hivyo vyote, wakibadilisha basi ni ugali maziwa 🤣🤣🤣
Tanzania the most street food ni fish chicken and beef
Mpaka huyu Mzungu kashangaa namna Watanzania wanakula vizuri and cheaply