Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Indeed atleast mmeipea jina ya heshim barack obama drive

Hii Barabara imepatia watu wanne Heshima. Inapoanzia kule ikulu mpaka karibu na Darajani pale ni Barack Obama Drive, Linapoishia Daraja Mpaka makutano ya Kaunda Inaitwa Kenyatta, na baada ya Hapo hadi inapoishia inaitwa Toure Drive. So imepita Barabara nne zenye majina ya heshima kwa watu wanne.

1. Barrack Obama
2. Jomo Kenyatta
3. Kenneth Kaunda
4. Sekou Toure.
 
Kuna Bank Tatu Za Kichina bongo ninazozijua na moja ile IT plaza naona ndio iliyofulia.

View attachment 2235179

Zingine
1. Bank Of China ipo Tanzania toka 2016 Amani Place Opposite Serena Hotel.

View attachment 2235173


2.China Dasheng Bank Ltd ipo Ex Telecom kuna Branch Pale chini

View attachment 2235174

3.ICBC (Industrial and Commercial Bank of China ) aka stanbic bank [emoji41]

View attachment 2235176
Rafiki yetu ang'aka kuskia bank of China Zambia! Ni mambo ya kawaida benki huwa zinajulikana functions zake na hawalazimishi watu kufanya nao biashara!
 
Magufuli bus station can hold 3456 buses and 200 private cars


Oshodi can accommodate 820 buses


Sasa wewe do the maths yourself kama umeenda shule.




Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Halafu wasichojua hawa wakunya kuna plan ya kujenga bus terminal nyingine Mbagala kwa mabasi ya southern bound Tanzania! Wasipokaa vizuri itajengwa terminal nyingine wao wakiendelea kubishia Magufuli bus terminal!
 
The Blue Bus.

IMG_7413.jpg
 
sasa mbona unashadadia umbea wa media ya mnyonyaji mmoja? Unaijua Glencore wewe? hawa wanagombania tonge kwahiyo wako busy kuchafuana!

Huo sio umbea ni ukweli ,wachina ni wanyonyaji pia, kuchafuana kwao ndio heri yetu kama waafrika
 
Still mnqkufa na njaa . Tanzania fresh food kila kona halafu ukanunue chakula cha kwenye makopo . Masoko yanagenjwa standard Google soko la kisutu , Magomeni huone mfano . Yaani niache fresh fish damu haijakauka nikanunue samaki wa kwenye freezer hizo akili au matope, fresh meat , fresh chicken kila kona unaona nyama mbichi damu bado haijakauka
Vijisababu visivyo na maana! Nani alikuambia kwamba malls kunauzwa tu vyakula pekee yake? Ushamba ulioje huu! Kama ni masoko tunazo tena nyingi sana ukitaka picha sema uletewe
 
Sema tu unajaribu kujitetea ni kwa nini Tanzania hamna malls. Mambo ya freshness ni kisingizio tu. Nairobi ipo mbali na lake Kisumu au Indian Ocean so samaki haiwezi kuwa fresh kiasi cha kumwagika damu kwa sababu lazima itiwe kwenye freezer na kusafirishwa hadi Nairobi. Kwa hivyo hata samaki wa sokoni hapa Nairobi wametiwa kwenye freezer wakati wa usafirishaji. Au wamekaushwa kabla ya kusafirishwa. Watu wa Dar au watu wa Mombasa na Kisumu ndio wanakula samaki fresh.
Hawa vilaza kwa visingizio hawajambo
 
Huo sio umbea ni ukweli ,wachina ni wanyonyaji pia, kuchafuana kwao ndio heri yetu kama waafrika
Ila kigezo cha benki yenye jina la China kuwa sababu ya unyonyaji kinaleta Utata ukizingatia zinafanya kazi under regulations of a specific country! Sema wewe binafsi unachuki na wachina maana Wazambia wenyewe kwenye clip wanasema uwepo wao umesaidia!
 
NSSF ni independent from Central Goverment..Ikijenga chochote lazima serikali kuu iilipe..Lasivyo mafao yatakuwa yanatumika ovyo..

Nssf Ilichangia asilimia 60 kujenga kigamboni bridge so lazima warudishe hela yao ..unless hutaki mafao mzee
Ndio serikali ilipe sio kututoza sisi kuwapa Nssf,hakuna sehemu tulikubaliana watutoze.
 
Back
Top Bottom