Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Enda uambie mwenye kampuni abadilishe hii location ju nikama google maps walikosea.🤣🤣🤣
View attachment 2233049
Kwani workshops/warehouses/Showrooms haziwezi kufanana? Mbona MacDonalds ziko zinafanana kila mahali worldwide? That's RSA branch in Nairobi looks exactly like the one in Majengo!

RSA LTD.

P.O. Box 591 Moshi, Tanzania

Majengo, Saba Saba Area

Telephone: +255 (0) 27 2752883

Fax: +255 (0) 27 2750560

Fax: +255 (0) 27 2750375

Phone: +255 (0) 754 400 500

E-mail: rsa@rsaafrica.com

RSA KENYA LTD.

P.O. Box 3390-00506 Josh Industrial Estate, Mlolongo Area, Nairobi, Kenya.

Telephone: +254 (0) 736 001660

Mobile: +254 (0) 792 800066

E-mail: rsa@rsaafrica.com


Screenshot 2022-05-21 143548.jpg
 
Kwani workshops/warehouses/Showrooms haziwezi kufanana? Mbona MacDonalds ziko zinafanana kila mahali worldwide? That's RSA branch in Nairobi looks exactly like the one in Majengo!

RSA LTD.

P.O. Box 591 Moshi, Tanzania

Majengo, Saba Saba Area

Telephone: +255 (0) 27 2752883

Fax: +255 (0) 27 2750560

Fax: +255 (0) 27 2750375

Phone: +255 (0) 754 400 500

E-mail: rsa@rsaafrica.com

RSA KENYA LTD.

P.O. Box 3390-00506 Josh Industrial Estate, Mlolongo Area, Nairobi, Kenya.

Telephone: +254 (0) 736 001660

Mobile: +254 (0) 792 800066

E-mail: rsa@rsaafrica.com
Swallow your ignorance and shame in peace wacha kujitetea. 🤣 🤣 🤣
 
Aisee wewe uko Nchi gani?

Kwanza msimu wa mvua kwa mwaka Jana zimenyesha kidogo Mazao hayajaiva kama miaka ya nyuma,yamekauka mashambani,kwa hiyo mavuno yatakuwa hafifu hii pekee ni sababu ya mahindi kuwa juu,saizi gunia la mahindi ni 50,000-55,000 shambani..na gunia la mpunga ni 70,000-80,000 shambani.

Pili Nchi za Pemba ya Africa zina ukame wa moja kwa moja kwa hiyo walanguzi ni wengi Sana wananunua wanapeleka..

Tatu ni suala mtambuka la kupanda Kwa gharama za usafirishaji kulikosababishwa na bei za mafuta..

Sasa hapo mama anahusikaje? Zaidi zaidi Juzi kule Tabora Rais aliwataka watu watunze chakula kwa sababu Kwa macho yake amesema ameona mimeo imekauka ikiwemo mahindi na alizeti..

On top of that akasema akasema serikali yake itatoa kipaombele kwenye kilimo cha umwagiliaji [emoji116]

View attachment 2232095
Wacha kutetea ujinga, mwaka janaa mbolea mfuko uliuzwa laki na na ishirini mpka na nusu, ulitegemea wakulima wangapi wangefikia gharama hiyo mind you heka moja inatumia mifuko 4.
 
Wacha kutetea ujinga, mwaka janaa mbolea mfuko uliuzwa laki na na ishirini mpka na nusu, ulitegemea wakulima wangapi wangefikia gharama hiyo mind you heka moja inatumia mifuko 4.
Sasa ndio umeandika nini? Hoja ni palepale ,Rais Samia ndio alipandisha bei ya mbolea?👇

Screenshot_20220521-134424.png
 
Mji kupangwa sio kama magufala city pale dodoma, uswazi in the making
Screenshot_20220521-163627.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20220521-163601.jpg
    Screenshot_20220521-163601.jpg
    46.4 KB · Views: 25
  • Screenshot_20220521-163612.jpg
    Screenshot_20220521-163612.jpg
    47.6 KB · Views: 24
Dar itakua na elevated roads nyingi tu lakini sio for the purpose of express way, unless hujui kazi ya hiyo express way yenu ni kuharakisha tu usafiri kutoka airport kwenda CBD the same flyover yetu ya tazara ilikua ni kuharakisha usafiri wa kutoka CBD kwenda Airport kwa kujenga flyover tazara junction na kufanya mtu kutoka Airport kupita moja kwa moja bila traffic lights

Otherwise tuna expressways zetu Dar yote kama BRT na ni free of charge
Yani huyu mdanganyika anasema kibrt ni elevated expressway way na venye it looks ugly [emoji23][emoji23][emoji23] IQ ya wabongo hukua down mbaya
[emoji706][emoji706]
 
Tanzania is the most Youtubed African destination

1 million views on spot just because it's Tanzania

Huyo Tayo aliwahi sema Tanzania kuna aina zote za hali ya hewa ukitaka equatorial , sijui dessert na zinginezo . Pia bahari , milima , wanyama na utu . Kina youtube video moja niliona kaenda Zanzibar yule mwenyeji alipokua anawatambulisha wafanyabishara wa forodhani huyu mgeni toka Nigeria anashang'aa anapewa msosi haonje for free akawa anashangaa . Kumbe kibongobongo mgeni kupewa msosi ni kawaida sana
 
Sub Saharan Africa, Kenya ni ya pili kwenye mall space. Sasa kalilie chooni. Ukitoa South Africa na utoe Waarabu wa North, hawa malazy wengine tunawapiga wote kwenye retail space in malls.
Still mnqkufa na njaa . Tanzania fresh food kila kona halafu ukanunue chakula cha kwenye makopo . Masoko yanagenjwa standard Google soko la kisutu , Magomeni huone mfano . Yaani niache fresh fish damu haijakauka nikanunue samaki wa kwenye freezer hizo akili au matope, fresh meat , fresh chicken kila kona unaona nyama mbichi damu bado haijakauka
 
Back
Top Bottom