Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The solenly World Cup representative from EAC is the Woman Referee from Rwanda..Congrats za kutosha kwake 👇

Screenshot_20220523-080010.png
 
Ninawashangaa Sana watanzania wanaoichukulia China kuwa ni wanyonyani, tayari propaganda za wazungu zimeanza kufanikiwa.
China is the best friend of African, udhahifu wetu na kushindwa kwa Afrika katika kusimamia maisha na maendeleo yetu, tunataka kulaumu China

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tusipo kuwa macho kwa mali zetu basi si china wala wazungu watakuwa malaika kwetu ,
 
Russia wapo sawa kwenye technology lakini bado hawafikii wazungu wa West
siunaona ulivokua mwehu 🤣🤣 mm narudia kukwambia russia ina technology kubwa sana duniani na technology ya russia ndio tishio kubwa duniani vile vile
 
chongchung alikuwa anadanganya kwamba hakuna slum inayoitwa Msasani huko Dar. Sasa angalau wewe umeconfirm kwamba ipo.
Hiyo siyo slum kama unavyo fikili wewe hapo msasani mimi nimewai kupatembelea sana tu kununua vitu. Sema wamiliki wa nyumba wamejenga vyumba vingi vya kupangisha na kusababisha msongamano kutokana na ilo eneo kupendwa kibiashara kwa sababu ni karibu na maeneo ya matajiri na karibu na ufukwe wa coco Beach [emoji950] hivyo hakuna slum inayo itwa msasani hapo msasani ni karibu na makazi ya wazungu na ubarozi wa [emoji631] nikama kilometa moja tu kutoka ulipo ubarozi wa USA [emoji631] sasa kama mabeberu wameshindwa kupatambua kuwa ni slum ....wewe mkikuyu wa kibera ni nani tukusikilize.
MSASANI SIYO HAKO KAENEO ULICHO POST TU NI ENEO KUBWA LENYE MATAJILI WA KUFA MTU View attachment 2235137
 
Hiyo siyo slum kama unavyo fikili wewe hapo msasani mimi nimewai kupatembelea sana tu kununua vitu. Sema wamiliki wa nyumba wamejenga vyumba vingi vya kupangisha na kusababisha msongamano kutokana na ilo eneo kupendwa kibiashara kwa sababu ni karibu na maeneo ya matajiri na karibu na ufukwe wa coco Beach [emoji950] hivyo hakuna slum inayo itwa msasani hapo msasani ni karibu na makazi ya wazungu na ubarozi wa [emoji631] nikama kilometa moja tu kutoka ulipo ubarozi wa USA [emoji631] sasa kama mabeberu wameshindwa kupatambua kuwa ni slum ....wewe mkikuyu wa kibera ni nani tukusikilize.
Sasa kama wewe mwenyewe umekubali kwamba majumba ambayo yamejengwa Msasani ni duni sasa mbona tusiite eneo hilo slum?
 
Geza Ulole naomba "Comments" zako katika huu mjadala wanachozungumzia

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hili swala, liliongelewa sana wakaji tetea sio pesa za serikali, na hizi walizo chezea huku kwa endless shopping ni za wahisani sio? Kifupi rais anatakiwa ajitazame upyaa mapungufu ni mengi mnoo,mana hiininaonyesha wazi jinsi gani hakuwa na control kwa wapape wake kabisa[emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom