Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mzansi

Screenshot_20220520-045130_YouTube.jpg
Screenshot_20220520-045348_YouTube.jpg
Screenshot_20220520-052105_YouTube.jpg
Screenshot_20220520-044110_YouTube.jpg
Screenshot_20220520-044053_YouTube.jpg
 
Timu ya Taifa hupewa buses na serikali, na hizo buses serikali wanazo mingi sana NYS na ndio hua wanapewa, pengine serikali yenu haina buses za wizara ya michezo na vijana ju nyinyi ni nchi maskini. 🤣 🤣 🤣
Where is the bus for Kenya football federation? Hata sie JKT wana mabasi yao kama NYS!
 
Tuwe waangalifu na hawa jamaa! Hawa mwanzo si walikuja na gear ya Bagamoyo port?
Hilo la Bagamoyo utajua mwenyewe..Ila Waziri wa Uvuvi alisema wanataka wajue idadi ya samaki huko Bahari kuu Ili waweze kutoa vibali vya Uvuvi wa Bahari ya kina kirefu..

Sielewi ndio nini ila wajuvi watatueleza zaidi.
 
Back
Top Bottom