Mkunya anaweza kutaja hata London Bus Terminal!Usiwe mpumbavu!
Sio kwa sababu ni hupendi Tanzania basi, ndio lazima uwe mchawi wa kila kitu!
Onesha bus terminal yeyote unajua Africa unaona Buses zinatoka kuanzia saa kumi na moja (11) alfajiri nonstop mpaka saa moja (1) asubuhi! Unajua ni masaa mangapi hayo, basi zinatoka bampa-2-bampa nonstop.
Acha ujinga!
Duuh Zambia kunambaka bank of China ,wakenya mjiandae
Labda huko Kunyaland!Timu ya Taifa hupewa buses na serikali, na hizo buses serikali wanazo mingi sana NYS na ndio hua wanapewa, pengine serikali yenu haina buses za wizara ya michezo na vijana ju nyinyi ni nchi maskini. 🤣 🤣 🤣
My point ni wapo wengi mpaka wameamua kuleta benki zao ili kufacilitate their exploitation in ZambiaSasa cha ajabu nn na wewe? Mbona Bank of India ipo Tanzania? Hilo ni jina tu kama Bank of America au KCB Bank! Wacha kasumba!
Wewe kwa akili yako unadhani the equivalent ya National Youth service ni nani kwa Tanzania kama si Jeshi la Kujenga Taifa! Fool Usichanganye Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) for defence na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) for national services!NYS sio jeshi, hakuna comaprison hapo we mzee.
Hata Tanzania kuna Chinese banks pia!My point ni wapo wengi mpaka wameamua kuleta benki zao ili kufacilitate their exploitation in Zambia
😃ona.., una sema 'trash' bila sababu.. najua ni uchungu sana kuona miradi kama hii ikiendelea kenya. reaction kama hii yako bila sababu, ni dhiirisho tosha kua nyie watanganyika mnauwivu ya ajabu.! 🤔🤔Trash
Wacha kumezwa na kasumba za kimagharibi ndugu zinakufanya Uwe kipofu kutoona standard chartered bank na Barclays pia ni za Muingereza na zipo miaka nenda miaka rudi ila zikiwa za mchina zina-facilitate unyonyaji!My point ni wapo wengi mpaka wameamua kuleta benki zao ili kufacilitate their exploitation in Zambia
Hawa jamaa wao hawatoi update kama waturuki.
Wewe jibu swali. Kati ya hii yenu na Oshodi bus terminal gani ndio kubwa zaidi kwa maana mnasema kwamba yenu ndio biggest in Afrika??Usiwe mpumbavu!
Sio kwa sababu ni hupendi Tanzania basi, ndio lazima uwe mchawi wa kila kitu!
Onesha bus terminal yeyote unajua Africa unaona Buses zinatoka kuanzia saa kumi na moja (11) alfajiri nonstop mpaka saa moja (1) asubuhi! Unajua ni masaa mangapi hayo, basi zinatoka bampa-2-bampa nonstop.
Acha ujinga!
Sasa habari hii inahusu gazeti yenu ya the citizen kivipi? Wacheni kiherehere.![]()
Kenya's debt repayments to China shoot to Sh1.4 trillion
The repayments to Chinese lenders accounted for 81.4 percent of the Sh90.26 billion that the Treasury spent on servicing bilateral debt in the nine-month period through March.www.thecitizen.co.tz
Akili zao ni finyu Sana, wanadhani kila wanachofanya Kenya ndio duniani kote ni hivyo hivyoWewe kwa akili yako unadhani the equivalent ya National Youth service ni nani kwa Tanzania kama si Jeshi la Kujenga Taifa! Fool Usichanganye Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) for defence na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) for national services!
Weka ushahidi usitumie uzoefu wa kuamini Mambo uliyozoea kuyasikia kwa muda mrefu.Russia wapo sawa kwenye technology lakini bado hawafikii wazungu wa West
Ninawashangaa Sana watanzania wanaoichukulia China kuwa ni wanyonyaji, tayari propaganda za wazungu zimeanza kufanikiwa.Wacha kumezwa na kasumba za kimagharibi ndugu zinakufanya Uwe kipofu kutoona standard chartered bank na Barclays pia ni za Muingereza na zipo miaka nenda miaka rudi ila zikiwa za mchina zina-facilitate unyonyaji!