Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sought after not sort.

Halafu sought after in what please expound kidogo kuliko kuandika maneno ya Kanga hapa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
....in the sense that all the Tech Giants in the globe at the moment are seeking to set foot onto the kenyan soil.... the likes of the recent Google, Amazon, IBM, Microsoft, Visa, Meta, Moderna and wht have u.. is just a clear testament.. as in, kenya is the in-thing at the moment, the nemesis of nigeria and southafrica..

nb: nabadooo........ ngoja kwanza konza city ii-die
 
Still mnqkufa na njaa . Tanzania fresh food kila kona halafu ukanunue chakula cha kwenye makopo . Masoko yanagenjwa standard Google soko la kisutu , Magomeni huone mfano . Yaani niache fresh fish damu haijakauka nikanunue samaki wa kwenye freezer hizo akili au matope, fresh meat , fresh chicken kila kona unaona nyama mbichi damu bado haijakauka
Sema tu unajaribu kujitetea ni kwa nini Tanzania hamna malls. Mambo ya freshness ni kisingizio tu. Nairobi ipo mbali na lake Kisumu au Indian Ocean so samaki haiwezi kuwa fresh kiasi cha kumwagika damu kwa sababu lazima itiwe kwenye freezer na kusafirishwa hadi Nairobi. Kwa hivyo hata samaki wa sokoni hapa Nairobi wametiwa kwenye freezer wakati wa usafirishaji. Au wamekaushwa kabla ya kusafirishwa. Watu wa Dar au watu wa Mombasa na Kisumu ndio wanakula samaki fresh.
 
Usiwe nakawaida ya kubishana na ukweli mzee
 
Huyo Tayo aliwahi sema Tanzania kuna aina zote za hali ya hewa ukitaka equatorial , sijui dessert na zinginezo . Pia bahari , milima , wanyama na utu . Kina youtube video moja niliona kaenda Zanzibar yule mwenyeji alipokua anawatambulisha wafanyabishara wa forodhani huyu mgeni toka Nigeria anashang'aa anapewa msosi haonje for free akawa anashangaa . Kumbe kibongobongo mgeni kupewa msosi ni kawaida sana
Huu ni ukarimu wetu,utamaduni wetu,utu wetu.
 
Mwanza beautiful streets 👇

IMG_20220520_104243_703.jpg

IMG_20220520_104252_603.jpg

IMG_20220520_104349_031.jpg

IMG_20220521_160659_879.jpg

IMG_20220520_104408_630.jpg

IMG_20220520_104413_545.jpg

IMG_20220520_104416_429.jpg

IMG_20220520_104421_547.jpg

IMG_20220520_104500_592.jpg

IMG_20220520_104608_475.jpg

IMG_20220520_104429_120.jpg

IMG_20220520_104444_636.jpg

IMG_20220520_104548_511.jpg

IMG_20220520_104616_997.jpg
 
Still mnqkufa na njaa . Tanzania fresh food kila kona halafu ukanunue chakula cha kwenye makopo . Masoko yanagenjwa standard Google soko la kisutu , Magomeni huone mfano . Yaani niache fresh fish damu haijakauka nikanunue samaki wa kwenye freezer hizo akili au matope, fresh meat , fresh chicken kila kona unaona nyama mbichi damu bado haijakauka
Nadhani hivyo vyakula vya kwenye makopo ndio zimeharibu akili zao they cant think straight.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
I said I am not sure. Sasa hio ni kuidharau aje? I just don't have enough information about Egypt ndio maana nimeiweka kando. But in Sub Saharan Africa (excluding North African countries), Kenya ndio ina second highest mall space, according to this 2017 Knight Frank report.
Uwachage madharau!
 
Still mnqkufa na njaa . Tanzania fresh food kila kona halafu ukanunue chakula cha kwenye makopo . Masoko yanagenjwa standard Google soko la kisutu , Magomeni huone mfano . Yaani niache fresh fish damu haijakauka nikanunue samaki wa kwenye freezer hizo akili au matope, fresh meat , fresh chicken kila kona unaona nyama mbichi damu bado haijakauka
Actually it's safe to say wanakula mizoga, wazungu wanakula nyama hata hawajui imetokana na mnyama gani, wanakula mapooza, very sad hawa nyumbu wasio na akili wanavyotuaibisha wa Africa

Waliozaliwa na kukulia huko ulaya na uzee wao wanahamia Tanzania sababu tu ya chakula organic and fresh

Back
Top Bottom