Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunajenga sgr ya over 2600k unlike yenu ya 480km mmeshindwa kuimaliza madeni mpaka matakoni.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Aliyewadanya yenu haikujengwa na deni alishaaga. Mama hajui kuongea uongo
1651668374260~2.jpg
 
We kilaza kweli AVIC town is within Kigamboni and was part of it.Kigamboni City was just a Master Plan not a CIty in the air😄😄😄unajua AVIC town ilianza kujengwa kabla JPM kuvuruga mradi wa Kigamboni City kupitia kwa aziri Lukuvi na Dodoma safari
Was part of it? And then what happened now that it's not part of it? 😂
 
Dar es salaam kuna barabara nyingi za kutoka na kuingia mjini hivyo elevated expressway sio requirement yetu kwa sasa unlike Nairobi you only have Mombasa road ndio main artery yenu ya kutoka na kuingia mjini.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwa hivyo unataka kutudanganya kwamba hakuna traffic jam huko Dar es Salaam? Interchange kazi yake ni kupunguza traffic jam na ndio maana pia nyinyi mnastahili kuanza kuzijenga ili kupunguza jam. Interchange inazuia mkusanyiko wa magari katika junctions au katika round-abouts. Mkijenga interchange basi mtaondoa round-abouts zenu. Kitu kimoja ambacho interchange inafanya ni kwamba gari haipunguzi speed inapofika kwenye junction, gari inapanda viaduct (barabara ya juu) na kuendelea na safari, halafu gari za chini nazo zinaendelea na safari bila kupunguza speed.

Tatizo la kujenga expressway ni kwamba inahitaji interchange zijengwe katika kila junction na ndio maana inaitwa expressway kwa sababu hakuna kupunguza speed ili kupisha magari kwenye junction au kwenye round-abouts. Ila ujenzi wa interchange ni very expensive kwa sababu inahitaji ujenzi wa interchange katika kila junction.
 
We are not like you. You build big stations porini while the main infrastructure is poor and old fashioned. Mchina knows how to play with your feelings na hiyo ndio foreign policy yao tu build things pleasing to the eyes but ndani ni uozo mtupu. Siku mkizinduka toka kwenye ushamba huu ndio mtajua hamjui.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Lazima tu ikuume coz you got nothing close to that. Those "old fashioned" and "poor" things ndio zinakufanya utoe povu Kama hii uliyotoa hapa
 
Back
Top Bottom