Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

coodip1 Hizi gari zinazojiendesha (self-driving cars) huwa zinafanya vizuri sana kwenye expressways kwa sababu hakuna kusimama kwenye junction ili kupisha gari zingine kupita na hakuna bumps, sasa computer inaendesha gari wewe ukiwa umelala usingizi wa pono au ukiwa kwenye online business meeting katika kiti cha nyuma huku computer inaendesha gari. Ila computer haitaweza kuendesha gari safely katika barabara zetu za Kiafrika ambako kunahitaji umakini mwingi kwa maana hapa Kenya usipokuwa makini unaona chokoraa amevuka barabara bila kuangalia, sasa inabidi dereva akanyage breki, au unakuta matatu hapa Kenya zina tabia ya kuchange lanes kiholela bila kujali, sasa inabidi dereva awe makini ili kuzuia kugongana na matatu. Sasa computer sidhani kama itaweza kudeal na hizi unexpected scenarios virahisi, binadamu yuko vizuri kwa kureact haraka hata kwa mambo mapya ila computer lazima ifanyiwe training kutumia AI ili ipate experience ya jinsi ya kunavigate chaotic African roads. Lakini expressway haina hizi chaos eti mtu wa mkokoteni anajaribu kuvuka barabara na mambo mengi ya maajabu yanayoweza kuichanganya computer, expressway iko fully barricaded from the other roads. Hata bumps hakuna kwa hivyo computer haina haja ya kupunguza mwendo katika safari nzima. Nairobi expressway ndio barabara nzuri ukanda huu kwa kutest self-driving cars kwa maana haina distractions nyingi kama bumps, junctions, wavuta mkokoteni, bodaboda anayebadilisha leni viholela holela, matatu zinazobebea abiria njiani, wavuka njia wasiokuwa makini na kadhalika.
 
Kwa hivyo unataka kutudanganya kwamba hakuna traffic jam huko Dar es Salaam? Interchange kazi yake ni kupunguza traffic jam na ndio maana pia nyinyi mnastahili kuanza kuzijenga ili kupunguza jam. Interchange inazuia mkusanyiko wa magari katika junctions au katika round-abouts. Mkijenga interchange basi mtaondoa round-abouts zenu. Kitu kimoja ambacho interchange inafanya ni kwamba gari haipunguzi speed inapofika kwenye junction, gari inapanda viaduct (barabara ya juu) na kuendelea na safari, halafu gari za chini nazo zinaendelea na safari bila kupunguza speed.

Tatizo la kujenga expressway ni kwamba inahitaji interchange zijengwe katika kila junction na ndio maana inaitwa expressway kwa sababu hakuna kupunguza speed ili kupisha magari kwenye junction au kwenye round-abouts. Ila ujenzi wa interchange ni very expensive kwa sababu inahitaji ujenzi wa interchange katika kila junction.
Tumejenga interchanges and flyovers and still we are building more flyovers ila kwa sasa we dont have any justification for an elevated expressway.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hii pugu station inakaa kama pit latrine. Wamejengewa stations ndogo ndogo maskini wa watu. Mturuki Mungu anakuona.
According to the requiremt of specific areas,inategemeana na idadi ya watu wa eneo husika, umeona za Dar, Morogoro na Dodoma?, Prudent use of resources[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kunyaland getting jealous

Soronera airstrip is busy now than Mombasa whatever 😂


FTMPlT9WAAEd9zJ.jpeg
FTMPlH-WAAE5TjG.jpeg


 
Land compensation in our case crosed the 30 billion Kenya shillings mark. Sijui hizo ni trilioni ngapi hela za madafu.
And then land compensation wasn't just in two regions like I have seen above. It was along the entire stretch
Hela wamekula wajanja hizo kwa ku inflate the cost lakini bado uko hapa kutetea upuuzi wakati hela wamepiga wengine na huku wewe umezungukwa na njaa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom