Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

As I'm talking right now there are 30 small rise buildings (6-11 storeys buildings) under construction in the upcoming city of which we call it Magufuli City (gov city) roads, electricity, sew, and all that.. it's from the scratch, we unanionyesha kagorofa kamoja haka 😂😂 claiming that the project is expensive than ours .. ar you crazy.? Heb onja ladha kidogo 👇 vile expensive projects hukaaView attachment 2230980View attachment 2230990View attachment 2230991View attachment 2230992
Hakuna city yoyote ndani ya Afrika iliyojengwa from scratch in the last 20 years inayoweza kushindana na Konza city isipokuwa ile capital city mpya ya Egypt.
 
ichoboy01 sioni mkishinda hii vita. Hii ni $40 billion inakwenda Ukraine. Hii ni nusu ya gdp ya Tanzania inakwenda Ukraine kupigana vita. Marekani imeamua kutumia rasilimali yao yote kusaidia Ukraine. Tayari USA imeshatumia zaidi ya $10 billion kwenye hii vita. Sasa ongezea $40 billion kwa hio $10 billion. Mimi naona Putin alifanya ujinga kuinvade Ukraine.

Hivi unajua Ukraine ilianza kupewa misaada ya pesa na silaha hata kabla Russia haijaingia Ukraine? Na baada ya Putin kuingia Ukraine misaada ya pesa kutoka EU,NATO na US wakaongezewa?,and yet Russia imeendelea kuchukua maeneo muhimu ya kiuchumi mfano bandari,power plant,ardhi yote yenye rotuba. Pia ukumbuke hizo silaha nyingi anazopewa Ukraine,zinaharibiwa na Urus.hiyo ni mikopo anapewa na sio misaada,US anatamani Vita iendelee ili aingize pesa. anatamani Vita iendelee ili aingize pesa.
 
Usiongee vitu usivyovijua. Hio $40 billion sio mkopo, Ukraine wanapewa bure. Kisha Russia sasa hivi ina-occupy less land than it occupied at the beginning of the war. Warusi wameshafukuzwa Kiev, Chernihiv na sasa wamefukuzwa Kharkiv. Russia imepoteza eneo lote la Kaskazini mwa Ukraine. Sasa Russia ipo Donbass na Kusini mwa Ukraine pekee.
 
Kigamboni kulijengwa the largest apartment project bigger than the total number of all apartments in kunyaland, zitakua resumed anytime sababu NSSF wapo kwenye vikao

Mwanangu wewe mgeni hapa ndani manake hata wenzako wanajua nyayo estate ndio kubwa ukanda mzima..
 
Sasa elevated Expressway ya nini Dar?

Unajua maana ya express way?

Ina tofauti gani na BRT system ambayo ni express way for public transport?

Sasa linganisha context ya kiExpressway Chenu cha kilometers 8 na BRT lanes across the whole biggest city of EA extended up to the neighboring regions like Pwani ujione ulivyo zumbukuku kulinganisha kifo na usingizi
You are writing nonsense na uongo. Danganyika will never have an expressway, even in your future plans there is nothing like an expressway [emoji23][emoji23]
 
Kinachojengwa maeneo yale ni Avic Town (a residential estate). Avic Town is being developed by Avic Coast Land Development Ltd.

Kigamboni City was a project by the government of Tanzania under the management of Kigamboni Development Agency. It hasn't seen the light of day to-date

Don't confuse the two
What you don't understand ni kuwa Kigamboni city ni mradi wa serikali ndani yake kuna several developers.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
You are writing nonsense na uongo. Danganyika will never have an expressway, even in your future plans there is nothing like an expressway [emoji23][emoji23]
Dar itakua na elevated roads nyingi tu lakini sio for the purpose of express way, unless hujui kazi ya hiyo express way yenu ni kuharakisha tu usafiri kutoka airport kwenda CBD the same flyover yetu ya tazara ilikua ni kuharakisha usafiri wa kutoka CBD kwenda Airport kwa kujenga flyover tazara junction na kufanya mtu kutoka Airport kupita moja kwa moja bila traffic lights

Otherwise tuna expressways zetu Dar yote kama BRT na ni free of charge
 
Back
Top Bottom