Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe wakutumia bundle ndio mshamba. Internet sio internet kuna watu wanatumia unlimited kama mimi na kuna wewe wakutumia hizo bundle.
Sikuelewi, yaani kuna limit kwenye kupurchase internet au vipi? I can use both pre paid and post paid accordance with my convenience and where I am, I can use Wi-Fi and phone internet, tatizo ninyi washamba sana
 
actually, it's 2,000 hectares, not acres. That's around 5,000 acres ingia YouTube then search Konza City. There are so many videos of it
Ipi ni konza hapa, am confused zinakuja zote Google 😂😂😂😂😂

Inaniletea city render na irrigation scheme perpendicular 😂😂😂😂

images (95).jpeg

images (94).jpeg
 
This 1 housing project alone is bigger than konza and tatu combined

Nikuletee Mwingine?

If I heard it right, they've only built 102 units out of those 3,500 units they 'hope' they'll build. That's not even 5% of the project and yet you get excited!

As I type this, Unity Homes has already put up over 2,000 housing units in Tatu city and all of them are already occupied. Sasa mbona unalinganisha kiwete na mtu aliye na uwezo wa kutembea?
20210717_124051.jpg
2020-11-21.jpg
IMG_20210203_141741.jpg
2022-04-17 (1).jpg
20220409_104706.jpg
2022-04-17.jpg
2020-12-16.jpg
20210717_121949.jpg
20220417_172626.jpg
2022-04-30.jpg
 
Tanzania has no expressway, wacha kuchokesha vidole.

Expressway ni kwa miji ambayo iko overpopulated, haina efficiency public transport, ina matabaka makubwa ya matajiri na maskini na mambo kama hayo. Miji ambayo iko na vyote hivyo huwezi kuta expressway, ndio maana tuliwaambia hiyo barabara yenu ni symbol ya failure, inaharibu sura ya mji, inahatarisha usalama (Nairobi Kempnsik imebidi wajenge maukuta for security reasons na mambo kama hayo) kiufupi haiwasaidii chochote, ndio maana hakuna magari lakini foleni imejaa Mombasa road, mnachofurahia ni kupiga picha tu na kupost humu, no wonder hujawahi au hutawahi hata kupita hapo coz nasikia pedestrians na nduti hazipiti, na wewe ndio usafiri wako……[emoji28][emoji28]
 
Ipi ni konza hapa, am confused zinakuja zote Google 😂😂😂😂😂

Inaniletea city render na irrigation scheme perpendicular 😂😂😂😂

View attachment 2231486

View attachment 2231487
Uwezo wenu wa kuelewa mambo ndio finyu. How many times am I going to mention that currently no horizontal works zinaendelea? Can't you see those are some of the roads being constructed? Wewe nionyeshe mahali ujenzi wa Kigamboni city umefikia
 
If I heard it right, they've only built 102 units out of those 3,500 units they 'hope' they'll build. That's not even 5% of the project and yet you get excited!

As I type this, Unity Homes has already put up over 2,000 housing units in Tatu city and all of them are already occupied. Sasa mbona unalinganisha kiwete na mtu aliye na uwezo wa kutembea? View attachment 2231484View attachment 2231485View attachment 2231488View attachment 2231489View attachment 2231490View attachment 2231492View attachment 2231493View attachment 2231494View attachment 2231495View attachment 2231496
Deadline ya mradi unayo? Huo mradi hata miezi miwili hauna Unalinganisha na tatu elephant yenye miaka 20 lakini hata 500 units haijafikia 😂😂😂😂
 
Deadline ya mradi unayo? Huo mradi hata miezi miwili hauna Unalinganisha na tatu elephant yenye miaka 20 lakini hata 500 units haijafikia 😂😂😂😂
Didn't you say huo mradi iko na nyumba nyingi kushinda Konza na Tatu city combined? Did you mean those 102 units ama kuna zingine?
 
If I heard it right, they've only built 102 units out of those 3,500 units they 'hope' they'll build. That's not even 5% of the project and yet you get excited!

As I type this, Unity Homes has already put up over 2,000 housing units in Tatu city and all of them are already occupied. Sasa mbona unalinganisha kiwete na mtu aliye na uwezo wa kutembea? View attachment 2231484View attachment 2231485View attachment 2231488View attachment 2231489View attachment 2231490View attachment 2231492View attachment 2231493View attachment 2231494View attachment 2231495View attachment 2231496
Ada Estate looks fantastic than 3 city

images (96).jpeg

images (97).jpeg

images (99).jpeg

images (100).jpeg
 
Didn't you say hiyo mradi iko na nyumba nyingi kushinda Konza na Tatu city combined? Did you mean those 102 units ama kuna zingine?
Of course sababu ina nyumba 3500 wakati hizo irrigation schemes zenu cannot even dream
 
Back
Top Bottom