Fixed currencies hizi ambazo ziko pegged kwa kitu au currency nyingine, their value ziko determined bado ndani ya Exchanges through demand and Supply...
Fixed exchange rate ni ile ya kujiamulia sasa mfano kuanzia leo Tsh ni sawa Dollar 10... Hii ndio Fixed exchange rate sio Fixed Currency.
Swali la kizushi... Hapo kenya nchini kwao 1966 Ksh ilikuwa pegged to Sterling Pound, 1971 wakahamia kwenye Dollar, miaka mi4 baadae yani 1975 wakahamia kwenye SDR... Special Drawing Right [emoji847][emoji23] (haya mabadiliko yanaonesha jinsi gani hawajui nini wanataka)
Hawakuishia hapo... 1982 wakai'peg ela yao kwa currency tofauti tofauti... Means even Ksh ni Fixed Currency... na Ksh inazidi kuporomoka thamani, wanaeza kutwambia sababu [emoji848].??
Sasa kama mtu hawezi tofautisha walau hizi term mbili tu "Fixed currency" na "Fixed Exchange rate" ajabu anajiita mwana Uchumi mtajadiliana nini sasa...