Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Harakati za kutangaza Utalii wa Tanzania zinaendelea..

Tanzania kutumia fursa ya fainali ya UEFA Kati ya Liverpool vs Madrid 👇

Screenshot_20220517-140934.png


Screenshot_20220517-141010.png


Screenshot_20220517-141041.png
 
Tanzanite ni loan ama sio loan?
soma hii link itakufungua macho🤣🤣🤣
CRDB alone imetoa over 1 trillion tsh karibia 730m usd

 
Na zingine nyingi zinakuja,Director wa TPA alisema Jana..

Msimu huu bandari ya Dar imepiga Kazi Sana kwenye magari,na Watz saizi wananunua Sana Magari
Sana hata namba za usajili wa magari zinaenda haraka haraka.Kama meli moja inaweza kubakisha magari 900 unaweza kuona ni jinsi Watanzania wanamiliki magari na wana pesa si mchezo.
 
Serikali ya magufala ilikua ya ujinga sana View attachment 2228427
Hivi jamaa Magufuli alikukosea nini mbona kila siku ni kumtaja taja tu huoni wenzako hata hawamzungumzii?

Ulikuwa unakomaa alikufia...alikufia....watu wakakupuuza sasa hivi umeona utafute utoke vipi, umeanza tena.

Mpumzishe basi marehemu apumzike kama wastaafu wenu ambao wamelala na huwa hatuwasemi. Kumsema marehemu ni kupungukiwa hekima kwasababu hasikii na hawezi kujitetea.
 
Back
Top Bottom