Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli wananchi complains are based on expectations and not necessarily what you have. Thika road - a road of 40km - alone has 28 footbridges na bado watu wanariot they want another yet kuna jiji fulani wanasema ndio 'the most biggest city in East Africa' lina footbridge less than tano na watu wako tu sawa. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Reminds me of how my South African friends complain about potholes in their country more than the rest of us when they have it way better. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

img_7215-jpg.2226972
Shida yenyu kubwa mliyonayo ni kila mmoja kujiona kijogoo cha mtaa kuparuana tu pasipo na sababu za msingi ilimradi kila mtu asikike. Hapa kidogo tu nitolee mfano wa siasa ila joto la jiwe amenishauri vizuri nisiongee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Magufuli alikua ashawajua akili ndo maana aliwawekea vikwazo sasa Kuna haja gani ya kununua mahindi njee ya EAC wakati yaliyopo ndani yanatosheleza
Huyu alikuwa kiboko yao chuki yote kwake kisa kimojawapo kilikuwa ni hiki. Tutafute masoko kwingine wenye kuhitaji mbona wengi tena kipindi hiki ambacho India imeban ngano yake nchi nyingi zinaweza kuyahitaji.
 
Kwnn unamuita mu Africa mtu ambaye hajazaliwa Africa? Kama utatumia weusi wake mbona uwasaau kina pdidy, 50cent et al.
Lupita ni raia wa Kenya. Katiba ya Kenya inasema kama baba yako ni Mkenya basi mtoto wake pia ni Mkenya hata ikiwa amezaliwa nje ya nchi. Mtu aki-apply anapewa haraka sana. Tatizo nyie huwa sijui ni ushamba au ujinga. Hii aina ya citizenship inaitwa citizenship by family (jus sanguinis).

Lupita ni Mkenya na ameishi Kenya utotoni mwake. Baba yake hakuishi Mexico kwa muda mrefu. Alirudi Kenya na kuingia kwenye siasa na alirudi na familia yake. Lupita amesomea high school hapa Kenya kwa jina St. Mary's school.
cc chongchung
By the way hio st. Marys ni shule ya upili ambayo Uhuru Kenyatta pia alisomea. Ni shule ya matajiri hapa Nairobi. Jeff Koinange pia alisomea huko.
 
heb nikuulize swali tu moja.? tofauti iko wapi ukisema Dubai na UAE. this two are intertwined or overlap
Wewe kweli hovyo Dubai na UAE ni vitu viwili tofauti. Dubai ni sehemu ya UAE. Ambayo ndani ya UAE kuna Dubai, Abu Dhabi na Sharjah kama sikosei makao makuu ni Abu Dhabi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Shida yenyu kubwa mliyonayo ni kila mmoja kujiona kijogoo cha mtaa kuparuana tu pasipo na sababu za msingi ilimradi kila mtu asikike. Hapa kidogo tu nitolee mfano wa siasa ila joto la jiwe amenishauri vizuri nisiongee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shida yenu ni uoga. Yani mtu akisha kalia kiti cha uongozi hapo anakuwa kama mungu. Anaweza wanyea kwa midomo na mnyamaze tu kazi ni kusifia serikali. Ndio maana mna rasilmali kushinda nchi za Afrika Mashariki zote ukiondoa DRC yet kiuchumi mmeshindwa kuiongoza.
 
Wenye wanajaribu kulinganisha Lupita with Diamond are mad.

Here are some of the movies acted by Lupita.

Black Panther
Little Zombie
Us
Non-Stop
12yrs a Slave
Star Wars
Queen of Katwe

images - 2022-05-16T212503.077.jpeg


images - 2022-05-16T212102.740.jpeg


images - 2022-05-16T212342.299.jpeg


images - 2022-05-16T212154.662.jpeg


images - 2022-05-16T212242.790.jpeg


download (7).jpeg


6039513805ddb100195f67d1.jpeg
 
Back
Top Bottom