Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



Dodoma commuter rail iyo inakuja km 100+ mradi uko mbioni

Mm uwa nashangaa na kusikitika nikimskia mtu akisema tumepoteza hela na mda kuhamia dodoma
Dodoma imesaidia kuondoa msongamano wa kila kitu.Dar libaki kama jiji la kibiashara tu,sioni tatizo kuhamia Dodoma.
 
Kila siku nasema na niataendelea kusema hawa watu siyo wa kuwachekea wala kuwaachia nafasi yoyote ile wajiamulie mambo wanavyotaka.

Hata sisi tunatakiwa kuwa makini nao sana.Kwa hii express way kuna watz humu walishasema kwamba hiki kitu kitatokea.
 
Hii fibre optic cable two months ago ililand Kenya kisha ikaruka Tanzania na next destination italand South Afrika. Nyie mnarukwa na fibre optic cable kisha mnajisifu. By the way hii ndio fibre optic cable ya sita kuland Kenya. Narudia hii ni fibre optic cable ya sita kuland Kenya. Nyie mna ngapi?


Cc chongchung
Geza Ulole

sasa kama imeruka Tanzania (while the cable is along its cost) how much does it take to connect to Tanzania with our superior broadband backbone network? Kwa akili yako ya kijuha?

BTW EACOP will have its own fixed broadband Internet access services with Tanga as submarine cable landing station!
 
Hiyo si initiative yenyu ku-connect na seacable can occur any time! The issue here is where is ur local infrastructure to benefit from seacable connection?


Hiyo si initiative yenyu ku-connect na seacable can occur any time! The issue here is where is ur local infrastructure to benefit from seacable connection?

Halotel broadband connection by 2016!
viettel-tanzania-3g-coverage-768x480.jpg



Ni kama ujitambe mna kampuni nyingi za kuuza mafuta Kenya wakati huko Northern hakuna petrol stations! Angalia Djibouti Telecoms wakiongelea Tanzania!

View attachment 2225311


TEAMS is a Kenyan initiative usiwe mjinga bana, fungua link usome wacha kua ignorant na mvivu at the same time. Article inaongelea options za Rwanda wakitumia the DARE1 cable and goes ahead to emphasize Tanzania boarders Rwanda. Lakini wewe ju ukona akili nusu unaforce narrative ikue eti Kenya hakuna infrastructure. Tutakosaje infrastracture while Kenya ikona 6 submarine undersea cables na Tanzania muna tatu pekee. Matters ICT Kenya is continental leader huwezi compare na Tanzania ambayo broadband internet haina hata clients in Dar.

 
Mnaweza kuwa na kila kitu ambacho sisi pia tunayo ila sisi tunazo kwa wingi. Hio ndio sababu ICT sector yetu ni kubwa kushinda yenu. Kwa mfano idadi ya IT research labs. Idadi ya smartphone users, idadi ya mobile money users, idadi ya start-ups, kiwango cha pesa ambayo start-ups zinaraise kimataifa. Mnaweza kuwa na haya mambo ila kwenye idadi tumewapiga.
Duh kutumia smartphone ndio kujua ICT haaaaaaaa , wonders shall never end , mi nikajua kuna invention kubwa kama max malipo au magilatech na local company za bongo zinafanya kazi baadhi ya nchi za kiafrika . Yaani wana provide ICT solutions za kama Msumbiji na nyingine . Kama NALA ni mtanzania katengeneza ile cross platform ya kutuma hela kutoka nchi za nje na hao ni wachache , sio nyie mnachukua products zilizotengenezwa huko halafu unakua system administrator yaani kumbadirishia mtu password akikosea halafu unajiona mtaalamu wa ICT , halafu uwe na aibu smartphone zinatumiwa hata na mtu asiyeweza kusoma . Kujua kututumia smartphone sio utaalamu wa ICT
 
TEAMS is a Kenyan initiative usiwe mjinga bana, fungua link usome wacha kua ignorant na mvivu at the same time. Article inaongelea options za Rwanda wakitumia the DARE1 cable and goes ahead to emphasize Tanzania boarders Rwanda. Lakini wewe ju ukona akili nusu unaforce narrative ikue eti Kenya hakuna infrastructure. Tutakosaje infrastracture while Kenya ikona 6 submarine undersea cables na Tanzania muna tatu pekee. Matters ICT Kenya is continental leader huwezi compare na Tanzania ambayo hata broadband internet haina hata clients in Dar.


wewe mpumbavu what is Teams among the 6 marine cable providers?
 
Baada ya russia kusaini deal la tourism na sisi maana warusi wamepigwa ban kuingia nchi nyingi na siku za karibuni warusi wamependezewa na znz,wakunya wakaona fursa ya kitalii inakuja TZ,basi na wao wakachange gear angani,sasa hivi na wao wanajifanya awafungamani na upande wowote kwenye ile vita
Aiseee! Umenifungua macho mkuu, Ahsante sana ndio maana ghafla hawawezi kuishi bila sisi.
 
Sasa kwanini wakenya wengi wasomi wamejazana Tanzania badala ya kubaki Nairobi Kama kweli Kuna pesa?.

Ukweli ni kwamba, Kenya economic base is very narrow, it is very thin can't absorb many people like Tanzania

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tanzania is the most diversified economy in East Africa thats why it can absorb many salaried people from neighbouring countries in its economic sectors.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hao waambie udaku watakueleza mpaka chupi aliyovaa Kajala lakini habari muhimu wako hovyo sana

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Halafu huwa wananiudhi sana, yaani badala wafanye research za maana kama uchumi, diplomasia, mazingira yetu na rasilimali zake zilizopo, vivutio vya utalii,miundombinu kuvutia wawekezaji wako busy kufuatilia maisha ya watu kama ulivyosema.

Kuna baadhi ya waandishi hawajui mlima Kilimanjaro uko mkoa gani watakwambia upo mkoa wa Moshi, wengine wanakwambia mkoani Bukoba badala ya Kagera, ni waandishi na wamesomea.

Lugha ni Kiswahili lakini angalia sarufi ilivyokosewa, makosa ya kimantiki kibao hata taarifa haieleweki. Hasa hawa bloggers ndio shida zaidi.
 
Back
Top Bottom