Soma taarifa uelewe. Hakuna tariff au kizuizi chochote kilichowekwa hapo. Waziri wenu wa fedha amesema kwamba Kenya imechelewa kubadilisha mfumo wa forodha (customs) na bado Kenya inatumia mfumo wa kizamani. Sasa badala nyie muulize KRA kwa nini wamechelewa kubadilisha mfumo wa forodha kulingana na makubaliano ya nchi za EAC, akina
Geza Ulole wanamshauri mama vibaya kwamba afanye retaliation. Sasa mbona tatizo hili ni ndogo sana na KRA inastahili kupewa pressure ibadilishe mfumo ianze kutumia mfumo mpya. Na wala Kenya haijaweka kikwazo chochote. Hakuna tariff mpya iliyowekwa na Kenya.