The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Geza aione mezani 👇
i don't knw why, but when most countries economy starts becoming strong and more industrialised, this practise automaticaly starts gaining root. take the case of SA for instance.. same sex marriage is legal, and its done in open air, no shame.! infact it's in their constitution. the same case with britain, US, australia, etc etc.. new zealand also legalised it just the other day. and so as kenya starts to industrialize more than its neibas,.. its not uncommon for these type of pple to openly come out and show themselves in public, even though its very illegal, and even punishable in imprisonment.!Sasa niletee wapi Tanzania wamenormalize ushoga kiasi cha watu publicly kujitangaza na kuendesha harakati zao kama kunyaland, kunyaland kati Wanaume 10, 3 are publicly proud to be shogaz, huku Tanzania ukisema unaenda Mombasa kila mtu anakuangalia mara mbili mbili with side eyes, (of course the world Mombasa is synonym of sodomization) but now Nairobi is taking over, kunyaland ina sifa mbaya sana huku nawashangaaga mnavyofikiri you are anything relevant here.
Tanzania hii moja ambayo banking sector ni ndogo na ICT sector is almost non-existent? Au unadhani hatuifahamu Tanzania? Nyie hamna high quality and high paying jobs nyingi. Kazi nyingi ambayo mnazo ni low paying jobs ya shambani au ya mining. Yaani kazi ngumu ya kuvunja mgongo ila inalipa mapato madogo. Banking sector na ICT sector yenu ni ndogo vibaya sana ukizilinganisha na za Kenya.Sasa kwanini wakenya wengi wasomi wamejazana Tanzania badala ya kubaki Nairobi Kama kweli Kuna pesa?.
Ukweli ni kwamba, Kenya economic base is very narrow, it is very thin can't absorb many people like Tanzania
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unaposema ICT sector is almost nonexistent unamaanisha nini? Kipi kwenye sector ya ICT kipo Kenya, Tanzania hakipo, nitajie then nitakutajia vilivyopo Tanzania Kenya havipo.Tanzania hii moja ambayo banking sector ni ndogo na ICT sector is almost non-existent? Au unadhani hatuifahamu Tanzania? Nyie hamna high quality and high paying jobs nyingi. Kazi nyingi ambayo mnazo ni low paying jobs ya shambani au ya mining. Yaani kazi ngumu ya kuvunja mgongo ila inalipa mapato madogo.
Hii battle ya ICT nitakupiga nikumalize. Usianzishe battle ambayo huwezi kumaliza.Unaposema ICT sector is almost nonexistent unamaanisha nini? Kipi kwenye sector ya ICT kipo Kenya, Tanzania hakipo, nitajie then nitakutajia vilivyopo Tanzania Kenya havipo.
Kwa mfano kenya kuna nini kikubwa kwenye ICT au ofisi za foreign company?Hii battle ya ICT nitakupiga nikumalize. Usianzishe battle ambayo huwezi kumaliza.
Umeanza mipasho? Nimeongea very simple swahili, nitajie huduma yoyote inayohusisha ICT Kenya ipo, Tanzania hakuna, mbona simple tuHii battle ya ICT nitakupiga nikumalize. Usianzishe battle ambayo huwezi kumaliza.
Hahaha na ndio hicho anakilenga, kisa wana Google office basi anaona ndio ICT imeishia hapoKwa mfano kenya kuna nini kikubwa kwenye ICT au ofisi za foreign company?
Mnaweza kuwa na kila kitu ambacho sisi pia tunayo ila sisi tunazo kwa wingi. Hio ndio sababu ICT sector yetu ni kubwa kushinda yenu. Kwa mfano idadi ya IT research labs. Idadi ya smartphone users, idadi ya mobile money users, idadi ya start-ups, kiwango cha pesa ambayo start-ups zinaraise kimataifa. Mnaweza kuwa na haya mambo ila kwenye idadi tumewapiga.Umeanza mipasho? Nimeongea very simple swahili, nitajie huduma yoyote inayohusisha ICT Kenya ipo, Tanzania hakuna, mbona simple tu
Hakuna chochote wala huna hojaMnaweza kuwa na kila kitu ambacho sisi pia tunayo ila sisi tunazo kwa wingi. Hio ndio sababu ICT sector yetu ni kubwa kushinda yenu. Kwa mfano idadi ya IT research labs. Idadi ya smartphone users, idadi ya mobile money users, idadi ya start-ups, kiwango cha pesa ambayo start-ups zinaraise kimataifa. Mnaweza kuwa na haya mambo ila kwenye idadi tumewapiga.
Hakuna chochote wala huna hoja
Nilitegemea ungeleta kitu kama hiki
Tanzania Traffic Fines and Notification system is digital and flexible than an old traditional and stagnant Kenya's system
Tanzania traffic fines are digitalized and giving chances to clear in multiple options and simplified means
View attachment 2225112
View attachment 2225113
Kenya
View attachment 2225114
Hii sio ICT? 🤔Wewe huelewi tunamaanisha nini tunaposema kwamba sector ya ICT ya nchi fulani ni kubwa kushinda sector ya ICT ya nchi nyingine. Hapa hatuongei kuhusu ni nini hakipo katika nchi moja na kipo katika nchi nyingine. Hapa tunazungumza tu kuhusu idadi ya ICT services na infrastructure. Kwa mfano idadi ya data centres, hata idadi ya internet users na kadhalika. Wewe ndio huna hoja.
Hakuna chochote wala huna hoja
Nilitegemea ungeleta kitu kama hiki
Tanzania Traffic Fines and Notification system is digital and flexible than an old traditional and stagnant Kenya's system
Tanzania traffic fines are digitalized and giving chances to clear in multiple options and simplified means
View attachment 2225112
View attachment 2225113
Kenya
View attachment 2225114











Kuna vingi vipo Tz na havipo Kenya, ni vingi sana kwakweli.
Vingi mno, wao wanafikiri kwa akili ndogo ya office hosting 😅😅Kuna vingi vipo Tz na havipo Kenya, ni vingi sana kwakweli.
Hii battle imeharibika kwa sababu ya upuuzi wako. Nilitegemea ulete data kwamba Tanzania ina more data centres kushinda Kenya. Kwamba data centres za Tanzania zina bigger capacity kushinda za Kenya. Kwamba Tanzania ina more fibre optic cables kushinda Kenya. Kwamba fibre optic cables za Tanzania zina bandwidth kubwa kushinda za Kenya. Kwamba Tanzania ina more smartphone users kushinda Kenya. Kwamba Tanzania ina more start-ups kushinda Kenya. Kwamba start-ups za Tanzania zinaraise more money internationally kushinda za Kenya.Hii sio ICT? 🤔
You compare this with your analog handwritten notifications?
View attachment 2225129
Hapa nilipokaa naweza nikamlipia mtu traffic fines zake bila kwenda popote through my smartphone, laptop au simu ya kiswaswadu bila kwenda office yoyote wala bank wala kutumia cash, lakini hilo hawaoni kama ni ICT advancement ambayo wao hawana 😅