Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu huwa wananiudhi sana, yaani badala wafanye research za maana kama uchumi, diplomasia, mazingira yetu na rasilimali zake zilizopo, vivutio vya utalii,miundombinu kuvutia wawekezaji wako busy kufuatilia maisha ya watu kama ulivyosema.

Kuna baadhi ya waandishi hawajui mlima Kilimanjaro uko mkoa gani watakwambia upo mkoa wa Moshi, wengine wanakwambia mkoani Bukoba badala ya Kagera, ni waandishi na wamesomea.

Lugha ni Kiswahili lakini angalia sarufi ilivyokosewa, makosa ya kimantiki kibao hata taarifa haieleweki. Hasa hawa bloggers ndio shida zaidi.
Serikali inabidi iweke appropriate guidelines za kuwafanya wakae kwenye mstari.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Waoohhh😍😍😍😍My God is this really My city Nairobi,,wahh so beautiful,,this is the best project to happen in Nairobi so far,🔥🔥

Westlands to Eastern bypass

download (33).jpeg


download (32).jpeg


download (31).jpeg


download (30).jpeg


download (29).jpeg


download (27).jpeg


download (26).jpeg


download (25).jpeg


download (24).jpeg


download (23).jpeg


download (22).jpeg


download (21).jpeg


download (20).jpeg


download (19).jpeg


download (18).jpeg


download (17).jpeg


download (16).jpeg


download (13).jpeg


download (12).jpeg


download (11).jpeg


download (9).jpeg


download (8).jpeg


download (7).jpeg


download (4).jpeg
 
Duh kutumia smartphone ndio kujua ICT haaaaaaaa , wonders shall never end , mi nikajua kuna invention kubwa kama max malipo au magilatech na local company za bongo zinafanya kazi baadhi ya nchi za kiafrika . Yaani wana provide ICT solutions za kama Msumbiji na nyingine . Kama NALA ni mtanzania katengeneza ile cross platform ya kutuma hela kutoka nchi za nje na hao ni wachache , sio nyie mnachukua products zilizotengenezwa huko halafu unakua system administrator yaani kumbadirishia mtu password akikosea halafu unajiona mtaalamu wa ICT , halafu uwe na aibu smartphone zinatumiwa hata na mtu asiyeweza kusoma . Kujua kututumia smartphone sio utaalamu wa ICT
Nimekuambia hata kwenye start-ups tunawapiga vibaya. Ni nini huelewi hapo. Unataja start-ups tatu za Tanzania. Kenya tuna zaidi ya 200 start-ups.
 
Hii battle imeharibika kwa sababu ya upuuzi wako. Nilitegemea ulete data kwamba Tanzania ina more data centres kushinda Kenya. Kwamba data centres za Tanzania zina bigger capacity kushinda za Kenya. Kwamba Tanzania ina more fibre optic cables kushinda Kenya. Kwamba fibre optic cables za Tanzania zina bandwidth kubwa kushinda za Kenya. Kwamba Tanzania ina more smartphone users kushinda Kenya. Kwamba Tanzania ina more start-ups kushinda Kenya. Kwamba start-ups za Tanzania zinaraise more money internationally kushinda za Kenya.

Kwamba Tanzania ina more research labs kushinda Kenya. Kwamba Tanzania ina more ISPs (internet service providers) kushinda Kenya. Kwamba Tanzania ina more internet users kushinda Kenya. Kwamba Tanzania ina more mobile money users kushinda Kenya. Kwamba Tanzania ina more ICT multinational regional headquarters kushinda Kenya. Kwamba Tanzania mna a higher mobile phone penetration rate kushinda Kenya. Kwamba Tanzania mna 5G (najua hamna 5G na sisi tunayo) na kadhalika.

Lakini wewe umeharibu hii battle kwa utoto wako. Wacha mtu mwingine anayeelewa haya mambo aje tudebate. Wewe hii topic huwezani nayo napoteza muda wangu bure.


👆🏽👆🏽 aisee....... all thts my country.....❤❤ am proudly kenyan.!
 
This is how roads are constructed in Kenya

Screenshot_20220515-131044_Opera.jpg


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nimekuambia hata kwenye start-ups tunawapiga vibaya. Ni nini huelewi hapo. Unataja start-ups tatu za Tanzania. Kenya tuna zaidi ya 200 start-ups.
Hizo startup zina output gani ? Kwa mfano magilatech katika costech now wanaprovide solution hadi nchi za SADC , sasa nyingi startup zenu zina product gani inayouza kenya na nje ya kenya . Au ndio mnatengeneza system administrator tu?
 
This is how roads are constructed in Kenya

View attachment 2225493

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Take off point , hapo gari ikiwa 120 akigonga hapo anapaa kabisa
 
According to this report around 10,000 km of fibre broadband backbone is already there! Mind u the word "backbone"!
Nimestruggle kutafuta latest data ila sijaipata. The latest data ambayo nimeipata ni ya zamani sana ya 2016 kutoka ministry of ICT of Kenya ambao wanasema Kenya ina more than 6,000 km of backbone fibre optic cable ila hawasemi idadi kamili. Na hio ni 2016 sasa sijui by 2021 ilikuwa imefika wapi. Kwa sasa ni 8,000 km ya TZ vs 6,000 km ya KE ila data ya Kenya ni ya zamani sana.
👇 👇
Screenshot_20220515-133654.jpg


 
Jana niliona kwenye taarifa ya habar TBC kuna jamaa kaelezea kuhusu mishahara..kaelezea hivhiv kama nilivyoelezea kuhusu % kuendelea kushuka kwa mishahara ya juu
Cc tuusan
Sikilezi kuanzia dakika ya 5:30

Hiyo ni kanuni ya equity Ili kupunguza income gap,kinachoshuka sio mshahara bali percentage,unaweza Kuta kima cha chini mwenye 23% akazidiwa na mwenye 2%
 
Serikali inabidi iweke appropriate guidelines za kuwafanya wakae kwenye mstari.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sana. Fikiria unakuta wameandika tumepata taarifa ya kusikitisha sana,Fulani yamkuta mazito,au msiba mzito halafu pale juu wameweka picha ya kiongozi au mtu mzito ukienda kusoma habari haihusiani na sura ya mtu waliyoiweka.

Wanafanya hivyo kuvutia wasomaji. Hii kiuandishi haina maadili inaweza kuleta tafrani kwa mtu mwenye ugonjwa wa moyo anaweza kupata mshtuko na kumsababishia madhara makubwa ikiwemo kifo maana anayekuwa amewekwa front page ni mtu wake wa karibu.

Serikali ipo kimya kwa waandishi wa namna hii. Muongozo ni muhimu sana, seminar elekezi zitolewe kwenye midia. Ni ajira Ndiyo lakini wawe wabobezi kwa taaluma wanayoifanyia kazi. Waache mazoea.
 
Mm nishawazoea ndo maana wakiposti habari lazima nihakikishe na vyanzo vingine mmoja wao ni "millard ayo " habari zake uwa zinakasoro kibao
Wanajiharibia huko mbeleni watajiharibia halafu kubwa zaidi ni kuhusu misiba. Msiba mzito halafu wameweka picha ya Rais mstaafu. Ukisoma hakuna kitu kama hicho ni mtu tu wa kawaida, sasa picha yake wametumia ya nini? Wizara inayohusika iache uvivu iwe inafuatilia taarifa zao za kina huu ni udhalilishaji.
 
Back
Top Bottom