chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Kama network ya umeme wenu tu!Mimi ninazungumzia idadi na capacity. Ninaposema ICT sector ya Kenya ni kubwa kushinda ya Tanzania simaanishi kwamba nyie hamna fibre optic cable, la hasha, namaanisha kwamba mna fibre optic cables chache kushinda Kenya na total bandwidth ya fibre optic cables zenu ni ndogo kushinda total bandwidth ya fibre optic cables za Kenya, kwa mfano the latest cable iliyoland Kenya ina more capacity kushinda capacity za cables tano za awali za Kenya.
