Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani wewe unajua au umesomea ICT?, Jana umeuliza kuhusu jinsi ya kuficha sura na umeeleweshwa, wiki iliyopita ulifindishwa jinsi ya kupanga *window" ya laptop yako. Mimi sio mbobezi katika ICT lakini sidhani Kama Mimi na wewe Kuna tofauti kubwa Sana

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hahahaha. Nimecheka sana. Sasa mzee nimekuelewa.
 
Upo sawa mkuu, hawa wakenya tatizo lao ni kuishi maisha ya nadharia yasiyoendana kabisa na hali ya nchi Yao, utawasikia mara nyingi walitumia mifano ya nchi zilizoendelea wakilinganisha na Kenya, kwamfano, "Japan Wana madeni zaidi ya Kenya", au kwasababu nchi zilizoendelea zinawekeza zaidi kwenye "high tech sector, Kenya nao utakuta huko ndiko wanakimbilia na kuachana na sector Kama hizo za kilimo na viwanda vidogo vidogo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hii ndio inapelekea kushindwa kufanya vitu vya msingi badala yake bajeti inaishia kwenye vitu ambavyo siyo vya lazima kwa wakati huo. Kwanini kule kaskazini wasiwapelekee chakula wanawaacha watu wake wafe kwa njaa.

Nchi ambayo haiwezi kuwalisha watu wake ni nchi mfu.
 
Hii cable ya sita ya Kenya ina total capacity ya 192 terabits per second. Sasa leta capacity ya cable zenu.

Soma hii paragraph niliyoitoa from the article above.
The 15,000km cable will give Kenya a strategic boost in more flexible digital connection options, including high-speeds of 200 gigabits per second per single wavelength with a total capacity of 192 terabits per second, as well as stable and secure data access possibilities.
Kwasababu Mimi sio mtaalamu Sana ktk hili eneo, ngoja niwaite wenye eneo lao wakushughulikie
Geza Ulole
NDINDA
The best 007
ichoboy01
7seven

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa wanataka kutumia ile vita kama fursa kwao hasa drc baada ya kujiunga eac
Hii ndio shida ya hawa jamaa wanajiona wako mbele zaidi kwenye kuchangamkia fursa pasipo kupima kina cha maji.

Unakumbuka walivyoilaani Russia juzi hapa, sisi tukamute wakaanza kulalamika mbona tz hatuna upande, wtz hawajalaani, siyo Ug, Ethiopia, Somalia wala South Sudan waliolalamikiwa.

Sijui huwa wanatuonaje, kwamba kwa kuwa wao wamefanya basi na sisi tufanye kama wao. Sasa walivyogundua wamekurupuka kimya.

Lengo lao hapa ilikuwa kutafuta sympathy ya misaada ya wazungu. Unajua hata kama una shida usitafute kusaidiwa kwa kujidhalilisha.
 
Usiongee usichokijua. Fibre optic cable ya Kwanza Kenya ililand 12th June 2009. Cable yenu ya kwanza ililand lini?

Hiyo si initiative yenyu ku-connect na seacable can occur any time! The issue here is where is ur local infrastructure to benefit from seacable connection?
Hii cable ya sita ya Kenya ina total capacity ya 192 terabits per second. Sasa leta capacity ya cable zenu.

Soma hii paragraph niliyoitoa from the article above. 👇 👇
The 15,000km cable will give Kenya a strategic boost in more flexible digital connection options, including high-speeds of 200 gigabits per second per single wavelength with a total capacity of 192 terabits per second, as well as stable and secure data access possibilities.

Hiyo si initiative yenyu ku-connect na seacable can occur any time! The issue here is where is ur local infrastructure to benefit from seacable connection?

Halotel broadband connection by 2016!
viettel-tanzania-3g-coverage-768x480.jpg

Ni kama ujitambe mna kampuni nyingi za kuuza mafuta Kenya wakati huko Northern hakuna petrol stations! Angalia Djibouti Telecoms wakiongelea Tanzania!
DARE1.PNG
 
View attachment 2225253

The dash line is the only network in existence!

View attachment 2225255
Sawa ila ningependa data ya kilometres of coverage. Wacha niitafute nikipata nitapost humu. Mind you 80% of Kenya's population lives in that dotted line. Wakenya wachache sana wanaishi kaskazini kwa sababu ya ukame na ardhi isiyokuwa na rutuba. Ila nakubali mnaweza kuwa na more kilometres of broadband kutushinda, sijakataa hilo. Lakini bila data inakuwa ngumu kukubali based on a mere picture.

Cc chongchung
 
Watanzania wazidi kuaminika Duniani..

Huyu hapa Mtanzania aliyeshinda udiwahi London..Juzi ijumaa alikuwa live Azam Two akihojiwa..

Hivi kuna Mkenya amewahi hata kuwa mjumbe wa Mtaa huko Ughaibuni? 👇

Screenshot_20220515-104758.png
 
Hiyo si initiative yenyu ku-connect na seacable can occur any time! The issue here is where is ur local infrastructure to benefit from seacable connection?

Hiyo si initiative yenyu ku-connect na seacable can occur any time! The issue here is where is ur local infrastructure to benefit from seacable connection?

Halotel broadband connection by 2016!
viettel-tanzania-3g-coverage-768x480.jpg

Ni kama ujitambe mna kampuni nyingi za kuuza mafuta Kenya wakati huko Northern hakuna petrol stations! Angalia Djibouti Telecoms wakiongelea Tanzania!
View attachment 2225311
Boss I wish unge-click na kusoma hio wikipedia article niliyoweka. Hio fibre optic cable ya kwanza kuland Kenya ilikuwa initiative ya Kenyan government na UAE government. Ilikuwa ni agreement ya hizi serikali mbili. By the way ilikuwa ni serikali ya Mwai Kibaki. Hio article inaelezea jinsi fibre optic cable inayoitwa Eassy ilichelewa kuland kwa hivyo GoK ikaamua kuingia mkataba na serikali ya UAE kuleta hii cable ya kwanza kuland Kenya inayoitwa TEAMS. Eassy ililand baadaye baada ya kuchelewa sana. This was a GoK initiative. Kasome article yenyewe.
 
Hongera kwake kwa hili.. ila hio hela haihusu mishahara yote.. ila maximum ndo hio 23% kwa mishahara ya kima cha chini.. mishahara ya juu hio % inapungua.. hatujui mwenye 1M au 3M ataongezwa kwa % ngap.

Natolea mfano mdogo.. anaelipwa kima cha chin cha 300,000 (mfano tu).. akiongezewa hio 23%, ongezeko inakuwa 69,000,
Na anaelipwa 3M.. akiongezewa hio 23% inakuwa 690,000, sasa serikal haiwezi kuongeza 690,000 kwa mtu mwenye msharaha wa 3M (hii 690,000 tayar ni mshahara wa mtu mwingine kbsa huu)

So inayojulikana ni hio 23% kwa kima cha chin.. ndo mana taarifa inasema ikiwemo 23% ya kima cha chini ..huko juu hatujui ni ngap.. inawezekana hata ikawa ni 5% 🤣

Ngoja nitoe mfano wa uongezeko la 5% kwa mtu wa msharaha wa 3M.. huyu ataongezewa 150,000..

Sasa ona tofauti.. ongezeko la 23% wa mshahara wa mwenye 300,000 ni 69,000 lkn ongezeko la 5% wa mshahara wa mwenye 3M ni 150,000 (reasonable kbs hii)

Sijui nilitaka niongeze nn lkn nadhan umeelewa kitu tayar
Jana niliona kwenye taarifa ya habar TBC kuna jamaa kaelezea kuhusu mishahara..kaelezea hivhiv kama nilivyoelezea kuhusu % kuendelea kushuka kwa mishahara ya juu
Cc tuusan
Sikilezi kuanzia dakika ya 5:30
 
Sawa ila ningependa data ya kilometres of coverage. Wacha niitafute nikipata nitapost humu. Mind you 80% of Kenya's population lives in that dotted line. Wakenya wachache sana wanaishi kaskazini kwa sababu ya ukame na ardhi isiyokuwa na rutuba. Ila nakubali mnaweza kuwa na more kilometres of broadband kutushinda, sijakataa hilo. Lakini bila data inakuwa ngumu kukubali based on a mere picture.

Cc chongchung
According to this report around 10,000 km of fibre broadband backbone is already there! Mind u the word "backbone"!
 
Hii ndio shida ya hawa jamaa wanajiona wako mbele zaidi kwenye kuchangamkia fursa pasipo kupima kina cha maji.

Unakumbuka walivyoilaani Russia juzi hapa, sisi tukamute wakaanza kulalamika mbona tz hatuna upande, wtz hawajalaani, siyo Ug, Ethiopia, Somalia wala South Sudan waliolalamikiwa.

Sijui huwa wanatuonaje, kwamba kwa kuwa wao wamefanya basi na sisi tufanye kama wao. Sasa walivyogundua wamekurupuka kimya.

Lengo lao hapa ilikuwa kutafuta sympathy ya misaada ya wazungu. Unajua hata kama una shida usitafute kusaidiwa kwa kujidhalilisha.
Baada ya russia kusaini deal la tourism na sisi maana warusi wamepigwa ban kuingia nchi nyingi na siku za karibuni warusi wamependezewa na znz,wakunya wakaona fursa ya kitalii inakuja TZ,basi na wao wakachange gear angani,sasa hivi na wao wanajifanya awafungamani na upande wowote kwenye ile vita
 
Back
Top Bottom