Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu ni kweli kabisa yaan nina siku mbili ila sina amani tayaari nimeshamis kisamvu na chakula cha mtume🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na kwani umelazimishwa? Unaongea ni kamaumeshikiwa bunduki ukae🤣🤣🤣
 
Daah hela nzuri sana
Hongera kwake kwa hili.. ila hio hela haihusu mishahara yote.. ila maximum ndo hio 23% kwa mishahara ya kima cha chini.. mishahara ya juu hio % inapungua.. hatujui mwenye 1M au 3M ataongezwa kwa % ngap.

Natolea mfano mdogo.. anaelipwa kima cha chin cha 300,000 (mfano tu).. akiongezewa hio 23%, ongezeko inakuwa 69,000,
Na anaelipwa 3M.. akiongezewa hio 23% inakuwa 690,000, sasa serikal haiwezi kuongeza 690,000 kwa mtu mwenye msharaha wa 3M (hii 690,000 tayar ni mshahara wa mtu mwingine kbsa huu)

So inayojulikana ni hio 23% kwa kima cha chin.. ndo mana taarifa inasema ikiwemo 23% ya kima cha chini ..huko juu hatujui ni ngap.. inawezekana hata ikawa ni 5% 🤣

Ngoja nitoe mfano wa uongezeko la 5% kwa mtu wa msharaha wa 3M.. huyu ataongezewa 150,000..

Sasa ona tofauti.. ongezeko la 23% wa mshahara wa mwenye 300,000 ni 69,000 lkn ongezeko la 5% wa mshahara wa mwenye 3M ni 150,000 (reasonable kbs hii)

Sijui nilitaka niongeze nn lkn nadhan umeelewa kitu tayar
 
Hongera kwake kwa hili.. ila hio hela haihusu mishahara yote.. ila maximum ndo hio 23% kwa mishahara ya kima cha chini.. mishahara ya juu hio % inapungua.. hatujui mwenye 1M au 3M ataongezwa kwa % ngap.

Natolea mfano mdogo.. anaelipwa kima cha chin cha 300,000 (mfano tu).. akiongezewa hio 23%, ongezeko inakuwa 69,000,
Na anaelipwa 3M.. akiongezewa hio 23% inakuwa 690,000, sasa serikal haiwezi kuongeza 690,000 kwa mtu mwenye msharaha wa 3M (hii 690,000 tayar ni mshahara wa mtu mwingine kbsa huu)

So inayojulikana ni hio 23% kwa kima cha chin.. ndo mana taarifa inasema ikiwemo 23% ya kima cha chini ..huko juu hatujui ni ngap.. inawezekana hata ikawa ni 5%

Ngoja nitoe mfano wa uongezeko la 5% kwa mtu wa msharaha wa 3M.. huyu ataongezewa 150,000..

Sasa ona tofauti.. ongezeko la 23% wa mshahara wa mwenye 300,000 ni 69,000 lkn ongezeko la 5% wa mshahara wa mwenye 3M ni 150,000 (reasonable kbs hii)

Sijui nilitaka niongeze nn lkn nadhan umeelewa kitu tayar
Nmekuelewa kilichobaki tusubiri effect
 
@Tony254 Haya yanayotokea husikii mkenya akisema lolote, lakini Tanzania ikijibu mapigo, wakenya wote wanaanza kupiga kelele, siku zote ninakuambia kwamba Kenya ndiyo nchi yenye kuanza chokochoko kwa majirani wake wote, hivi ninyi mpo na shida gani?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom