Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SGR ilala area
B57AFB03-31EB-4D3B-862C-FEEB77765313.jpeg
 
AFDB kawaambia kuwa "Tanzania, Burundi, Rwanda na DRC muungane mjenge SGR ya kutoka Isaka hadi Keza, then hapo kila mtu ajenge ya kwenda kwake"..so Kagame katuma ujumbe wako tayar.. nawaza tu
Hiyo ndiyo route niliyokuwa naipigia debe humu ndani from keza it branches to Burundi and Rwanda halafu onward connection to Congo either via Burundi or Rwanda watajuana wenyewe huko na vilevile possible connection to Uganda hivyo kipande hicho kitapitisha mzigo mwingi sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ndio sababu tunawaambia hamna akili, western countries" are free from basic problems, they are not struggling with other essential problems like us, do you like Tanzania to invest heavenly in security now and leave aside education, manufacturing, Agriculture and other sectors which are essential.

Ulaya wanao uwezo wa kiuchumi wa kuwekeza katika sector zote kwa pamoja, sisi ambao uwezo wetu ni mdogo lazima tuwe na vipaumbele, wapi tuanze na wapi kusubiri kwanza

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Look, I really didn't need an entire essay on that... Kama uliona nilikuwa na respond kwa The best 007 ambaye alisema hakuna infrastructure ina exist Nairobi yenye haipo Dar, so mambo ya kulialia sio necessary, Kenya managed to pull tha off alongside giving a budget for education so spare me the cries and next time advise your fellow countrymen wacheze ligi yao sio Kenya.
 
Emirates ndio the best airline nimewahi kutumia. Chakula ni kizuri na service ipo sawa. Pia ni airline inayomiliki airbus A380 nyingi sana na hii ndege ndio the biggest passenger plane in the world. Mimi mwaka wa 2017 kutoka Dubai hadi Czech Republic nilitumia airbus A380 na ticket yenyewe inajieleza. Nilitoka Nairobi na kuconnect Dubai kisha nikaelekea Prague. RIP kwa president wa UAE, ameunda nchi ya nguvu sana.

View attachment 2223328

joto la jiwe kuna siku uliniitisha evidence. Hii inatosha au bado?



View attachment 2223355
"Uliniitisha= ulitaka/uliniomba/ ulihitaji

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Huyu ni inspector general wa polisi anapigwa hivyo huko Sri Lanka,


Watu wa Sri Lanka wanarusha magari za wanasiasa mtoni.
Madeni ya mchina kutokana na kujenga miradi isiyoweza kuzalisha na kurudisha mikopo, Sri-Lanka na Kenya hazina tofauti katika kukopa na kujenga miradi ya hovyo, Kenya mjiandae.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja mjionee kituko cha hawa majirani.
Take home: Chinese government of Kenya


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom