Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The terminal at Kisumu airport coming up nicely.

20220513_191705.jpg


20220513_191711.jpg


20220513_191708.jpg


20220513_191703.jpg
 
Northern corridor imezikwa rasmi, Wakenya poleni sana mlikopa kujenga reli lkn kama kawaida elimu yenu imeonekana jinsi gani ni dhaifu mbele ya elimu ya Tz, angalia wasomi tulivyopiga hesabu zetu na mambo yamejipa, poleni sana wakunya.
Hawa wajinga wana tembo weupe wawili.. sijui lamu port na hio sgr yao
 
Zikapakiwa kwenye meli inayotoka ulaya zen zikaletwa Tz, ona hapa zimetolewa bandarini kutoka kwenye meli ya Ulaya iliyotokea Kenya


Buses zenu mingi zinakuwa assembled in Kenya with a few imported from China.

Example of companies getting their buses from Kenya.

20220501_111413.jpg


20220501_111157.jpg


20220501_003546.jpg


20220430_235343.jpg


20220430_233316.jpg


20220430_231925.jpg


1651408878701.jpg


1651580091799 .jpg


20220501_111409.jpg
 

Emirates ndio the best airline nimewahi kutumia. Chakula ni kizuri na service ipo sawa. Pia ni airline inayomiliki airbus A380 nyingi sana na hii ndege ndio the biggest passenger plane in the world. Mimi mwaka wa 2017 kutoka Dubai hadi Czech Republic nilitumia airbus A380 na ticket yenyewe inajieleza. Nilitoka Nairobi na kuconnect Dubai kisha nikaelekea Prague. RIP kwa president wa UAE, ameunda nchi ya nguvu sana.

1652461871548.png


joto la jiwe kuna siku uliniitisha evidence. Hii inatosha au bado?



1652463768029.png
 
Back
Top Bottom