Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Huyo ni mtu mmoja unasema "Wakenya?" Angalau anatafuta.Wakenya wapo desperate mpaka huruma
Uarabuni kumejaa mpaka mnatafuta za Africa?
View attachment 2222753
Huyo ni mtu mmoja unasema "Wakenya?" Angalau anatafuta.Wakenya wapo desperate mpaka huruma
Uarabuni kumejaa mpaka mnatafuta za Africa?
View attachment 2222753
Hili ndio tatizo lako Tony254, unashangaza Sana kwakweli, mtu yeyote mwenye akili timamu, hawezi kufurahia nchi yake kuwa na "import bill" kubwa. Tony tuambie ukweli, wewe umesomea uchumi kweli?Usiruke ruke sana. Kenya ili-import around $500 million au ukipenda $0.5 billion kutoka Tanzania mwaka uliopita. Total imports za Kenya mwaka uliopita kutoka nchi zote duniani ni zaidi ya $15 billion. Narudia tena $15 billion. Sasa percentage ya Kenya's import from Tanzania to total import ni
0.5/15×100=3.3%
Nchi chache sana hapa Afrika zinaimport bidhaa nyingi kushinda Kenya. Hio $500 million tunayoimport kutoka Tanzania ni 3% ya Kenya's total import ya $15 billion kwa mwaka.
By the way hio $15 billion ni value ya zamani ya miaka kama tatu zilizopita. Nipo sure sasa hivi import bill ya Kenya imepita $17 billion kwa mwaka. Wacha nikaangalie economic report ya KNBS.
Ni rahisi kusafirisha vifaa vya ujenzi kwenda uganda kwa kupitia bandari ya dar es salaam. Ikumbukwe vifaa hivyo vitakuwa vingi sana vikubwa na vizito pia hivyo reli ya kati MGR iliyokarabatiwa upya na yenye speed ya 100km/hr itatoa dedicated train kusafirisha mizigo mpaka mwanza na port bell kwa gharama nafuu kabisa. Kazi iendeleeSasa kati yako na mkurugenzi wa Total Energy ambaye amesema Total itatumia Mombasa port kwa baadhi ya mizigo yake nani anajua zaidi? Usijifanye mjuaji hata kushinda Total energy yenyewe.

Ndio sababu tunawaambia hamna akili, western countries" are free from basic problems, they are not struggling with other essential problems like us, do you like Tanzania to invest heavenly in security now and leave aside education, manufacturing, Agriculture and other sectors which are essential.Tafuta excuse nyingine, western na European countries are equiped with these infrastructures, haimaanishi wako na terror threats...tafuta excuse nyingine better
Pamba mtapata kutoka wapi?Ifahamu textile manufacturing company iliyofungua kiwanda chao Kenya mwaka wa 2020. Sasa hivi imeajiri Wakenya 3,000. Kampuni hio ipo ndani ya special economic zone.
MAS Intimates Kenya Athi River in Machakos County
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 2222728
View attachment 2222727
Tony254 usijishushe hadhi kwa kuamini vijarida uchwara vya Kenya bila kutafuta facts za kweli. Tanzania gas reserves ni 60 trillion nakufahamisha hilo ukae ukijua.Total haijatia saini mkataba wowote na Tanzania kuhusu ujenzi wa lng plant. Sababu kubwa ni kwamba reserve ya gesi yenu ni ndogo sana. Ndio maana wote wametorokea Mozambique ambao wana 100 tcf wakati nyie mna 0.3 tcf tu.
Tony254 hii ni kuonyesha ni kwakiasi gani Kenya ni tegemezi kwa Tanzania.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Public procurement in Tanzania does not allow the government to spend tax payers money in buying used equipment.You call it mtumba wakati nyinyi hamna commuter rail of that standard! Aren't these your commuter rail system?View attachment 2222383View attachment 2222384View attachment 2222385
Majority ya wakenya wanaota kutoroka nchi Yao, "You need to build strong economy of your country from within", ili kuepuka hii aibu ya wakenya kukimbia nchi Yao kwa wingi na kwenda kudhalilishwa huko UAEHuyo ni mtu mmoja unasema "Wakenya?" Angalau anatafuta.
Wameanza chokochoko, Tanzania ikijibu mapigo, utasikia kelele za wakunya, kwamba Tanzania inaichukia Kenya, hawa watu ndio wananifanya nimkumbuke Sana Magufuli pamoja na mapungufu yake lakini aliwanyoosha Sana wajinga hawa.Hili suala mama inabidi a-retaliate! kwann gas ya tanzania iwekewe import duty contrary to EAC common market principles! hawa washenzy ni wakuwafungia kama JPM alivyokuwa anafanya! Hapo ungekuta Brookside inapigwa imort duty ya kufa mtu!
CC: Tony254
Na ndio maana kuna watu walishaanza figisu kwenye kipande cha 3 makutupora tabora ili mchina apewe kwa kisingizio cha competitive bidding maana ikifika huko huwezi shindana na mchina maana alishaweka mpunga mezani viongozi wakaanza kugongana na kujikwaa kwa kupingana wenyewe kwa wenyewe. Bahati nzuri mama kasikiliza pande zote 2 akatoa maamuzi sahihi.Watu wanashadidia matapeli wa Kichina kwa sababu ni wazuri Sana kwenye kutoa Rushwa..
Ona hapa![]()

Walishaniibia charger ya simu hao kufika Joberg charger hamna nilichoka.Huu uwanja wa Jomo Kenyatta International Airport ndiyo the most dangerous airport in the world as far as pilferage issues are concerned. Yani kuna wizi wa hatari kwenye huu uwanja, usije ukazubaa kwenye huu uwanja utakuta wamekuibia kila kitu.
Home - The Informer Media Group, Latest Breaking News Today.
Stay informed with the latest breaking news from Kenya and around the world. From politics, business, sports, entertainment, trends, and exclusive videos...theinformer.co.ke
View attachment 2222606View attachment 2222607![]()
Journalist in court for stealing Sh200k from passenger at JKIA
A journalist with a leading local media house has been arrested and charged in court for allegedly stealing Sh200,000 from a passenger at the Jomo Kenyatta International Airport on Wednesday. Thenairobinews.nation.africa
Ya muhindi.Ifahamu textile manufacturing company iliyofungua kiwanda chao Kenya mwaka wa 2020. Sasa hivi imeajiri Wakenya 3,000. Kampuni hio ipo ndani ya special economic zone.
MAS Intimates Kenya Athi River in Machakos County
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 2222728
View attachment 2222727
Sasa mbona mmeamza vikwazo tena kwa kupandisha gharama ya lpg gas ambazo zinakuwa sourced nje mostly from Tanzania.Tanzania ime-overtake South Afrika na kuwa Kenya's top source of imports. Kenya inanunua bidhaa ya thamani nyingi kutoka Tanzania kushinda nchi yoyote hapa Afrika. Hii ni baada ya mama kuingia madarakani na kuondoa roho mbaya iliyokuwepo hapo awali. Kenya imedouble value of imports from Tanzania in the last one year.
Kenya imekuwa ikinunua bidhaa nyingi kutoka SA kwa miaka nyingi, sasa TZ imeshika nafasi ya kwanza kama source market hapa Afrika. SA ni ya pili.
I bet these units were in use either during world war 2 or at least during the cold war.Old junks from France![]()
Nilishasema humu ndani Kenya ni consumption economy na huo ndio muelekeo wa serikali yao tangu Mzee Kenyatta mpaka nyanya yake sasa hivi hata elimu yao imetolewa kwa mrengo huo kwahiyo hiyo ndiyo mentality yao wala sioni ajabu.Hili ndio tatizo lako Tony254, unashangaza Sana kwakweli, mtu yeyote mwenye akili timamu, hawezi kufurahia nchi yake kuwa na "import bill" kubwa. Tony tuambie ukweli, wewe umesomea uchumi kweli?
Nchi yoyote Ile duniani inawekeza katika" manufacturing sector" yake ili kupunguza "imports" na kuongeza "exports" ndicho kinachofanyika Tanzania, wewe unasifia Kenya kuwa na "import bill" kubwa, hiyo ni Elimu gani?,
Hivi unajisikiaje kusikia kwamba Tanzania imeizidi South Afrika kuwa biggest source of Kenya's imports?, Unadhani South Africa wanafurahi?. Hivi ninyi wasomi wa Kenya mnajisikiaje mkisikia Tanzania inatajwa kuwa the biggest exporter in EAC?.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa nimesifia imports wapi? Nionyeshe nimesifia imports wapi. Nimekueleza kwamba Kenya huwa ina import mizigo ya thamani kubwa kutoka nje sasa hapo nimesifia import wapi? Ukiambiwa ukweli unasema kwamba mtu amejisifu. Ukinionyesha ni wapi nimesema kwamba import ni nzuri kushinda export nitatoka JF. Usiseme nimesema kitu ambacho sijasema.Hili ndio tatizo lako Tony254, unashangaza Sana kwakweli, mtu yeyote mwenye akili timamu, hawezi kufurahia nchi yake kuwa na "import bill" kubwa. Tony tuambie ukweli, wewe umesomea uchumi kweli?
Nchi yoyote Ile duniani inawekeza katika" manufacturing sector" yake ili kupunguza "imports" na kuongeza "exports" ndicho kinachofanyika Tanzania, wewe unasifia Kenya kuwa na "import bill" kubwa, hiyo ni Elimu gani?,
Hivi unajisikiaje kusikia kwamba Tanzania imeizidi South Afrika kuwa biggest source of Kenya's imports?, Unadhani South Africa wanafurahi?. Hivi ninyi wasomi wa Kenya mnajisikiaje mkisikia Tanzania inatajwa kuwa the biggest exporter in EAC?.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
The quality of education that is provided to these dunderheads kunyans is astonishing, how can someone be happy with high import figures revealed by his national body of statistics? Kunyans are being rejoiced in every data that puts them on top of other countries regardless whether the data potrays good or bad idea.Hili ndio tatizo lako Tony254, unashangaza Sana kwakweli, mtu yeyote mwenye akili timamu, hawezi kufurahia nchi yake kuwa na "import bill" kubwa. Tony tuambie ukweli, wewe umesomea uchumi kweli?
Nchi yoyote Ile duniani inawekeza katika" manufacturing sector" yake ili kupunguza "imports" na kuongeza "exports" ndicho kinachofanyika Tanzania, wewe unasifia Kenya kuwa na "import bill" kubwa, hiyo ni Elimu gani?,
Hivi unajisikiaje kusikia kwamba Tanzania imeizidi South Afrika kuwa biggest source of Kenya's imports?, Unadhani South Africa wanafurahi?. Hivi ninyi wasomi wa Kenya mnajisikiaje mkisikia Tanzania inatajwa kuwa the biggest exporter in EAC?.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa hawaaminiki leo mnakubaliana hivi kesho wanageuka uki retaliate wanapiga kelele utawaonea huruma. Lakini hiyo yote inaonekana kuna mkubwa fulani kwenye serikali anafanya biashara hiyo hiyo ndio maana wali frustrate Rostam kuwekeza kwenye gas KenyaHili suala mama inabidi a-retaliate! kwann gas ya tanzania iwekewe import duty contrary to EAC common market principles! hawa washenzy ni wakuwafungia kama JPM alivyokuwa anafanya! Hapo ungekuta Brookside inapigwa imort duty ya kufa mtu!
CC: Tony254