Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Nmepitia hii documentary ya congo aisee Wakongo wanaiitaji hii reli (sgr) more than anything itakua suluisho ya matatizo yao
Nini cha kuumana hapo? Si hilo linapaswa kua jambo la kawaida tu.
Umeanza kuiba picha sio?ichoboy01 theme park za dar ni za watoto tu. Ndio maana hata unatupostia roller coaster na ferris wheel za watoto.🤣 🤣 🤣 Kenya kuna hizo roller coaster za watoto but I can't bother to post ju huo ni ushamba. 🤣🤣🤣
Vitu thrilling za watu wazima kama hizi huwezi pata bongo.
![]()
🤣 🤣 🤣 🤣 kuiba wapi? Sema tuskie.Umeanza kuiba picha sio?
Hyo ni video nimescreenshot unatak ziweje?Hizi picha unashindwa kuzi-post zikiwa sawa ama?
Bila filter huwa hamjiani kabisa.View attachment 2221523View attachment 2221524View attachment 2221525View attachment 2221526View attachment 2221527View attachment 2221528View attachment 2221529View attachment 2221530View attachment 2221531View attachment 2221532View attachment 2221534View attachment 2221535View attachment 2221536View attachment 2221537
Huu mji unaonekana uko well planned kwenye picha ya juu kwasababu ya maghorofa. Kiuhalisia haujapangiliwa vizuri sana na sidhani kama upo practical kwa watu wa kawaida.Huwa tunabishana kwamba miji yetu ipo well planned. Miji zetu bado sana. Tazama mji ambao upo well planned.
View attachment 2221485
www.tatucity.com
roller coaster leo ni ya kishamba kwasababu hamuna 🤣🤣🤣🤣🤣roller coastar ya kishamba 🤣 🤣 🤣 haiwezi hata enda upside down, theme park
za bongo ni za watoto tu, hakuna thrilling adventure hapo.
Kuja uone drop tower utoe ushamba.
![]()
Hakuna mji wa Afrika uko well planned kama huu. Tuambiane ukweli. Unaona wameweka limit kwa urefu wa ghorofa. Hakuna hapo upuuzi wa maghorofa kutotoshana. Kuna uniformity ambayo huwezi kuiona katika miji za Kiafrika.Huu mji unaonekana uko well planned kwenye picha ya juu kwasababu ya maghorofa. Kiuhalisia haujapangiliwa vizuri sana na sidhani kama upo practical kwa watu wa kawaida.
roller coaster leo ni ya kishamba kwasababu hamuna 🤣🤣🤣🤣🤣
mbona ipo huku kabla yenu 😂😂👇👇👇
View attachment 2221612
tafuta kama hii ukipata nitag 🤣🤣
hii munaitaje kwenu??😂😂👇👇Nyie pia hamna rollercoaster. Hayo madude unayopost sio rollercoaster. Hizo ni bembea za watoto.
Japo kinyongeYaani inasikitisha sana mkuu ila kadri miaka inavoenda wanaelewa japo kinyonge![]()



