Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Majority ya wakenya wanaota kutoroka nchi Yao, "You need to build strong economy of your country from within", ili kuepuka hii aibu ya wakenya kukimbia nchi Yao kwa wingi na kwenda kudhalilishwa huko UAE

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app


Ukimwona kadogosa kwenye picha ujue ni swala la sgr isaka -Kigali iyo

Pia Makame mbalawa yupo hapo, kifuatacho jamani msinitenge na
Sgr
 
Huyu ni inspector general wa polisi anapigwa hivyo huko Sri Lanka,


Watu wa Sri Lanka wanarusha magari za wanasiasa mtoni.
 
Pointi yangu ni kuwa uwepo wa kadogosa kwenye iyo picha tumepata hint ya mazungumzo yao yalikua yanahusu nn
 
AFDB kawaambia kuwa "Tanzania, Burundi, Rwanda na DRC muungane mjenge SGR ya kutoka Isaka hadi Keza, then hapo kila mtu ajenge ya kwenda kwake"..so Kagame katuma ujumbe wako tayar.. nawaza tu 💭
Haya sasa 🤔.. kutoka AfDB
20220513_185139.jpg

20220513_184450.jpg
20220513_184538.jpg
 
Back
Top Bottom