Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Mzee baada ya Wakulima masikini wa Tanzania kupokea $0.5 billion kutoka Kenya kwa sababu ya upole wa mama, na baada ya Tanzania kupokea $.025 billion 2020 kwa sababu ya chuki za Magufuli, unatoa wapi ubavu wa kuitisha retaliation? Haya mambo ni ya kukaa chini na kuzungumza. Sasa wakulima wenu wanapokea nusu ya billion dollar kutoka Kenya halafu unaongea hivi? Huwajali wakulima wenu kabisa wewe.Hili suala mama inabidi a-retaliate! kwann gas ya tanzania iwekewe import duty contrary to EAC common market principles! hawa washenzy ni wakuwafungia kama JPM alivyokuwa anafanya! Hapo ungekuta Brookside inapigwa imort duty ya kufa mtu!
CC: Tony254