Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Look, I really didn't need an entire essay on that... Kama uliona nilikuwa na respond kwa The best 007 ambaye alisema hakuna infrastructure ina exist Nairobi yenye haipo Dar, so mambo ya kulialia sio necessary, Kenya managed to pull tha off alongside giving a budget for education so spare me the cries and next time advise your fellow countrymen wacheze ligi yao sio Kenya.
Eti nini, Kenya ni nchi ya hovyo Sana, kwamba mliweza kuyafanya yote kwa pamoja, Chakula hamna, maji ni shida, hata Nyumba hakuna mnaishi kwenye mabanda ya nguruwe

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ila baba CCTV hazikwepeki!
Screenshot_20220513-234834_Google.jpg

Kunyaland kwa ground😁😁😁😁😁
 
Huwa wanafanya mambo kwa kutaka sifa lkn co kwa uhitaji, ss ka Nairobi unakaweka camera za nn? Kamji kamejaa vibaka kila kona na uhalifu wa kila aina, matokeo yake wameweka camera used na zimeshakufa kitambo ila kwakuwa waliweka kwa ajili ya maonyesho ndiyo wanapiga picha wanapost eti kuna camera, hawa jamaa ni mavi sn wallahi.
 
Hiyo ndiyo route niliyokuwa naipigia debe humu ndani from keza it branches to Burundi and Rwanda halafu onward connection to Congo either via Burundi or Rwanda watajuana wenyewe huko na vilevile possible connection to Uganda hivyo kipande hicho kitapitisha mzigo mwingi sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Uganda wataunganishia hapo Keza au kutokea Rwanda mkuu?
 
Madeni ya mchina kutokana na kujenga miradi isiyoweza kuzalisha na kurudisha mikopo, Sri-Lanka na Kenya hazina tofauti katika kukopa na kujenga miradi ya hovyo, Kenya mjiandae.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mtu mwenye akili nzuri na kufikiri sawa sawa hawezi kuwachekea hawa watu kwenye miradi ya kimkakati,wanachokitafuta wachina ni kunyonya na kuiba kila kitu (lugha nyepesi ni kula na kukomba mboga yote).

Angalia Uganda chupu chupu Airport yao ya Entebbe ichukuliwe sijui walisolve vipi issue yao. Hawa jamaa ni kukaa nao kwa akili sana.
 
Eti nini, Kenya ni nchi ya hovyo Sana, kwamba mliweza kuyafanya yote kwa pamoja, Chakula hamna, maji ni shida, hata Nyumba hakuna mnaishi kwenye mabanda ya nguruwe

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

😂😂😂 How it goes from "hakuna infrastructure ipo Nairobi na haipo Dar" i show you and it gets to hamna chakula na maji 😂😂😂😂 mko na umama sana, i gotta give it to you 😂😂😂
 
afu nyie mnaagiza haya kutoka ulaya sio?
View attachment 2223340
Kenya has several companies doing the assembly and body building. All the buses in that your picture were assembled by KCI lakini zile za juu nimekuonyesha were either assembled by Master, LSHS, AVA, Banbros or Choda. Pesa yako ndio inakuonyesha pahali pa kuenda.

Let me give you example with these.

1. Choda
2. LSHS
3. AVA
4. Masters
5. Banbros
6. KCI (The yellow bus)

1650129324184.jpg

1651500824523.jpg

images - 2022-05-02T141238.513.jpeg

20220501_000637.jpg

20220502_192059.jpg

1651174498093.jpg
 
Huwa wanafanya mambo kwa kutaka sifa lkn co kwa uhitaji, ss ka Nairobi unakaweka camera za nn? Kamji kamejaa vibaka kila kona na uhalifu wa kila aina, matokeo yake wameweka camera used na zimeshakufa kitambo ila kwakuwa waliweka kwa ajili ya maonyesho ndiyo wanapiga picha wanapost eti kuna camera, hawa jamaa ni mavi sn wallahi.
Blah blah blah blah...mnapenda kulia sana watanzania, jeez!😂😂😂
 
Huwa wanafanya mambo kwa kutaka sifa lkn co kwa uhitaji, ss ka Nairobi unakaweka camera za nn? Kamji kamejaa vibaka kila kona na uhalifu wa kila aina, matokeo yake wameweka camera used na zimeshakufa kitambo ila kwakuwa waliweka kwa ajili ya maonyesho ndiyo wanapiga picha wanapost eti kuna camera, hawa jamaa ni mavi sn wallahi.
Msemo wako hawa jamaa ni mavi sana🤣🤣🤣🤣🤣
20220514_003117.jpg
 
Tanzania zipo zaidi ya 300 bus companies kila 1 ina average of 10 buses, mngekua mbali kama tungekua tunawategemea!
Kwani hamuoni tuko mbali compared to nyinyi. We don't have any mineral, three quarters of our country is a desert but we still beat you in GDP by over $40B.
 
Back
Top Bottom