joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hivi kwa akili ya kawaida kabisa, Kuna sababu gani ya "project" Moja kutumia bandari mbili tofauti Kama bandari Moja inatosheleza?, ngoja tuone, lakini ninakumbuka mkataba ulisema wazi wazi kwamba bandari ya Tanga ndiyo itakua ni "dedicated port" ya huu mradi.Hapa ni kama tunakubaliana kwa sababu unachosema sio tofauti sana na nilichosema. Pipeline ya EACOP lazima ifanyiwe coating hapo Tanzania na ndio maana lazima iwe imported kutumia port ya Tanzania. Lakini nilichosema ni kuwa kuna mizigo mingi sana ya Tilenga project ambayo itatumia Mombasa port na senior officer wa Total Energy alikuwa Mombasa January kumake arrangements ya importation ya hivo vifaa. Pipeline is not the only thing being imported. Bandari zote mbili zitatumika. Yenu itaimport pipelines, yetu itaimport mizigo mingine ya Tilenga, around 500,000 tonnes kama alivyosema huyo afisa wa Total EnErgy kwa hio tweet ya KPA.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app




