Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana nikasema wauweke wazi ili utazamwe upya kama kuna vipengele cha unyonyaji viondolewe. Ingekuwa vizuri zaidi kama wangeupelek bungeni ujadiliwe.
Yap ata huo mkataba wa lng unaokuja wauweke wazi bungeni ukafanye nn wazee wa yes no tu wale
 
From ur media BusinessDaily!

MY TAKE
Preparing the Mombasa port to receive cargo and receiving the crude oil pipes cargo r two different things! All the pipes will need to be coated before being allowed to be used in the pipeline construction and the only coating facility in East and central Africa is in Nzega in Tabora region of Tanzania!

Nzega district in Tabora region
tanzania-political-map.jpg

Mama icing the cake with Museveni!

Hapa ni kama tunakubaliana kwa sababu unachosema sio tofauti sana na nilichosema. Pipeline ya EACOP lazima ifanyiwe coating hapo Tanzania na ndio maana lazima iwe imported kutumia port ya Tanzania. Lakini nilichosema ni kuwa kuna mizigo mingi sana ya Tilenga project ambayo itatumia Mombasa port na senior officer wa Total Energy alikuwa Mombasa January kumake arrangements ya importation ya hivo vifaa. Pipeline is not the only thing being imported. Bandari zote mbili zitatumika. Yenu itaimport pipelines, yetu itaimport mizigo mingine ya Tilenga, around 500,000 tonnes kama alivyosema huyo afisa wa Total EnErgy kwa hio tweet ya KPA.
 
Mkuu ingawa mm na wewe tunatofautiana kimawazo kwenye ili swala ila siku zote nchi yoyote ikiwa na vingozi makini na wanaojali maslahi ya wananchi wao hakuna haja ya washahuri, wote hao mmarekani na mchina kila mmoja anavutia kwake cha muhimu ni viongozi wetu kuwa makini
Nimekuelewa mkuu. Hapa ni viongozi kuwa makini. Ndio maana huko nyuma nikasema unakuta wazungu wanakuja na mikataba ambayo haina unyonyaji lakini wakifika hapa wanabadilishwa mawazo 10% zinahitajika kwa wawekezaji. Ili mambo yaende sawa wanapindisha baadhi ya vipengele na kujikuta tumeshaumia.

Sasa kwamba Mmarekani na Mchina kuwa pamoja labda itaondoa mikataba ya kinyonyaji kwasababu wote wana maslahi sawa.Sasa hapa position ya serikali katika negotiation ya sheria za mikataba ndipo inahitajika na kuwa werevu.
 
Kwa hiyo Mmarekani tu ndo anaweza kukuepusha na kinachotokea Sri Lanka? Kuna consultancy ngapi zipo duniani zinaweza kukuepusha na mikataba ya Kimangungu?
Mbona Mfaransa amesema atakuwepo na sijaona akipingwa. Huyo Mangungu aliingizwa Chaka na nani kama siyo mshauri wake, kwa kipindi hiki tunaweza kusema ni wanasheria wetu wa sasa hivi wanavyotukaanga na mafuta yetu wenyewe.

Mtazamo wangu ulikuwa ni kwamba mchina asibaki peke yake ikibidi Mmarekani kuwepo au kuwekeza ni sawa.Kama mchina na Mmarekani wote wana interest za kinyonyaji huu mradi hauna maana kwetu.

Mchina anakuja kwetu kuwekeza akiondoka anatuachia mabox eti nyumba, mbona wazungu huwa wanafanya vitu vizuri tu.

Tunawacheka Wakenya na express way yao nani kajenga,ni mzungu huyo au mchina. Hapa Afrika mchina amejenga nchi gani, na ni kampuni zipi zinaongoza kuvunja mikataba na kufurushwa.

Nigeria waliwahi kurudisha meli nzima ikiwa na wafanyakazi wa kichina baada ya kuja na vibarua wao wakiwa na lengo la kufanya kazi ambazo zingefanywa na wazawa.

Mtazamo wangu upo katika mlengo huu.
 
Yap ata huo mkataba wa lng unaokuja wauweke wazi bungeni ukafanye nn wazee wa yes no tu wale
Kumbe gas reserves ya Tanzania ni ndogo hivi? Tanzania ina 0.23 trillion cubic feet (tcf) ambayo inatarajiwa kuisha baada ya miaka miwili kulingana na hii site.

Gas Reserves in Tanzania​

See also: List of countries by Gas Reserves

Tanzania holds 0.23 trillion cubic feet (Tcf) of proven gas reserves as of 2017, ranking 82nd in the world and accounting for about 0.003% of the world's total natural gas reserves of 6,923 Tcf.

Tanzania has proven reserves equivalent to 2.1 times its annual consumption. This means it has about 2 years of gas left (at current consumption levels and excluding unproven reserves).

TANZANIA GAS RESERVES
230,000 MMcf
Global Rank: 82nd | Share of World's Gas: 0.003 %

Kulingana na hii site Mozambique ina 100 trillion cubic feet (tcf) of gas
 
Mbona Mfaransa amesema atakuwepo na sijaona akipingwa. Huyo Mangungu aliingizwa Chaka na nani kama siyo mshauri wake, kwa kipindi hiki tunaweza kusema ni wanasheria wetu wa sasa hivi wanavyotukaanga na mafuta yetu wenyewe.

Mtazamo wangu ulikuwa ni kwamba mchina asibaki peke yake ikibidi Mmarekani kuwepo au kuwekeza ni sawa.Kama mchina na Mmarekani wote wana interest za kinyonyaji huu mradi hauna maana kwetu.

Mchina anakuja kwetu kuwekeza akiondoka anatuachia mabox eti nyumba, mbona wazungu huwa wanafanya vitu vizuri tu.

Tunawacheka Wakenya na express way yao nani kajenga,ni mzungu huyo au mchina. Hapa Afrika mchina amejenga nchi gani, na ni kampuni zipi zinaongoza kuvunja mikataba na kufurushwa.

Nigeria waliwahi kurudisha meli nzima ikiwa na wafanyakazi wa kichina baada ya kuja na vibarua wao wakiwa na lengo la kufanya kazi ambazo zingefanywa na wazawa.

Mtazamo wangu upo katika mlengo huu.
Mzeee mimi sibishi kwa ajili ya kubisha ila Mmarekani sumu! Diamonds na madini ya DRC huuzwa in the US! Sasa hawezi leo kutushauri ati Mchina mbaya wakati tunajua hapo Djibouti anagombea bases! Hii maneno inahitaji upeo mkubwa!
 
Kabisa. Uchumi wa Ujerumani umejengwa na US,ebu angalia Eastern Europe ni nchi gani iko vizuri sana kiuchumi zaidi ya Germany? Zile zote ambazo zilikuwa na Soviet uchumi wao uliyumba na ndio maana hawataki kubaki na Russia wanataka kujiunga na nchi ambazo ziko na Mmarekani.

Russia alishatoa msaada baada ya anguko lake miaka ya 90? Hata huko nyuma ulikuwa ni msaada wa silaha tu na siyo pesa kwa ajili ya kujenga uchumi.
Ukitaka kuwa maskini basi shabikia hao wapuuzi wa Russia/ China/N.Korea 😄😄😄😄
 
Mzeee mimi sibishi kwa ajili ya kubisha ila Mmarekani sumu! Diamonds na madini ya DRC huuzwa in the US! Sasa hawezi leo kutushauri ati Mchina mbaya wakati tunajua hapo Djibouti anagombea bases! Hii maneno inahitaji upeo mkubwa!
Basi sawa tujipe muda tuone itakuwaje. Hili la DRC linajulikana kila mahali,sehemu yoyote inaweza kutokea kama nchi itakosa uzalendo na umakini katika mikataba inayoingia.

Nchi yetu ina utajiri mwingi huenda tulishajaribiwa kuvurugwa lakini tukawa imara hatukuibiwa kwa machafuko. Nchi ikiwa makini , tukawa wamoja, viongozi wetu wakajiepuesha na rushwa na maslahi binafsi basi hatutamuogopa yeyote anayekuja kuwekeza kwetu kwa misingi ya mikataba ya unyonyaji.
 
Back
Top Bottom