Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jua BRI ni nini kwanza halafu ujiulize location ya the US kama mradi wa Bagamoyo port ni strategic kwake! halafu wacha upumbavu wa kikenge! Yaani the US aje ajenge $10 bln port indian ocean badala ya Atlantic ocean! halafu stop what u r smoking! wacha upumbavu wa kikenge!
Wewe ndio fala nani hajui BRI? Hata kabla ya hiyo BRI ya China,Tanzania tulishakuwa na mpango wa kujenga Bagamoyo Port kitambo tuu,huyo China kadandia kwa mbele na hiyo Initiative yake ya unyonyaji.

Kabla ya Bagamoyo Port , Kigamboni ilikuwa na thamani kiasi gani? Kwa hiyo China ndio atakuja kutoa hiyo $10 bln bure sio?
 
Tatizo sio wachina tatizo ni viongozi wetu jpm sio mjinga kuukata ule mkataba wa kwanza akati kikwete alikua ashatia kalamu
Kuna kampuni nyingi duniani zinaweza kutoa ushauri zikiwemo za Ufaransa lakini si the US! Google Belt and Road Initiative uone media za US zinavyoupinga huu mradi! Kisa tu hawataki China iwe connected around the globe wakihofia biashara itakayawezeshwa na miradi ya Silk Road!
 
Hii ni sawa, lakini kuna mchoro niliona ramani inakwenda kuunganisha reli na Atlantic ocean.Hapa wanataka wasafirishe mizigo yao kutokea Asia to America.

Swali langu miumdombinu ya Congo kama unavyoijua milima, mabonde, mito na hilo la misitu minene. Kwenye uwekezaji mtaji huo tunao nchi zetu hizi, na je italipa mapema kama itaweza kujengwa?

Ila kwa kuwa serikali zote 3 zimefanya majadiliano na kuamua kufanya hili jambo na japo bado sijajua ni hii ya Kalema au ya kuingia ndani mpaka kwenye ile Peninsula yao ambayo iko Atlantic ocean uenda feasibility study imekuja na matokeo chanya.
Yah tutakua na adavntage pia badala mizigo ya West Africa kuzinguka mpaka sauzi itakua inaweza kupitia Dar then insafrishwa mpaka kinshasa kwa reli alafu inapakiwa kwenye meli yani bandari ya Dar itakuwa bonge la dili ila sasa mpaka iyo sgr ifike kinshasa sio leo 😅😅
 
Hili la Egypt lingefanyika Tanzania ,basi mburula wangepiga Sana makelele ,ooh upigaji

Screenshot_20220512-190845.png
 
By 2024 wakati mnazindua JNHPP tayari tutakuwa tunanunua umeme kwa bei nafuu kutoka Ethiopia kwa maana ujenzi wa njia ya umeme kati ya Kenya na Ethiopia umekamilika, tunasubiri uzinduzi wake soon. Turbines mbili za GERD ya Ethiopia tayari zinazalisha umeme.
Tangazo kama hili tutarajie labda mwaka 2500 ndio litapostiwa pale kibera na mathare

Attention
Tomorrow the railway line will be energized ,the catenary poles will have electric ,accordingly there will be no work between km 26 up to 53 within 10 m distance to the rail,

End quote.
 
Vitu vinaanzaga hivi mara paah...!! Turkish banks r to finance Uganda-Tanzania electric SGR!
 
kwahiyo kwa akili yako fupi huoni upinzani wa Mmarekani dhidi ya BRI? Na mbona asijenge yake aje kushauri dhidi ya mradi wa Mchina? Yaani tumruhusu Mmrekani kuingilia miradi mikubwa ya Mchina katika Bagamoyo port kisa Royal Tour! Upeo wako mdogo sana! Sijui hata kiwango cha elimu yako!
Uwezo wangu wa kielimu ni mdogo kushinda wako katika kuhoji miradi yenye maslahi ya Taifa. Kwa elimu yangu ndogo inanifikirisha kinachoendelea Srilanka.

Kuwa na elimu ndogo hainifanyi nisiwe na chaguo la kuandika au kuhoji na kushauri.

Wenye elimu kubwa kama wewe huwa hawatukani wala kujisifiwa bali huwasaidia wenye akili ndogo kuwaongoza.

Elimu yako kubwa uliyonayo inaonekana kwa jinsi ulivyo katika kuongea, uwezo wa kuvumilia, kustahimili mawazo ya mengine.

Kama elimu yako ni kubwa kunizidi usingejibu kwa kejeli na maneno ya shombo kama haya. Unaweza kujaza server za Jf kwa matukano na maneno kama haya lakini sitaweza kukutukana hata neno moja ndivyo elimu yangu niliyoipata inavyanielekeza kuishi kwenye jamii ya watu wenye mtazamo tofauti na wangu. BRI baki nayo mwenyewe sina haja nayo tena kwasababu hata nikiisoma sitaielewa kutokana na upeo wangu na elimu yangu ndogo niliyonayo.
 
Kwa hiyo Mmarekani tu ndo anaweza kukuepusha na kinachotokea Sri Lanka? Kuna consultancy ngapi zipo duniani zinaweza kukuepusha na mikataba ya Kimangungu?
 
Umempatia,huyo ni Pro China/Russia kwa hiyo hamtaelewana...

Hao Wachina zaidi ya kuwa matapeli Wana nini cha maana wanafanya hapa Tanzania?

Hawajawahi fadhili hata mradi wa reli toka walipojengaga reli ya Tazara Ili kuwafikisha Nchi za Kusini Mwa Africa kunyonya rasilimali..

Umeme wa US ndio unawaka Kigoma,Barabara za US ndio zimefungua Rukwa na Ruvuma achilia mbali miradi mingine mingi ya size ya Kati..
Ni kweli na sitamjibu tena mkuu kwasababu ameshapanic ameanza kutukana na kujisifia na elimu kubwa wakati ilikuwa ni kitu kuhoji kwa hoja au kuelewesha anachokijua.
 
Kuna kampuni nyingi duniani zinaweza kutoa ushauri zikiwemo za Ufaransa lakini si the US! Google Belt and Road Initiative uone media za US zinavyoupinga huu mradi! Kisa tu hawataki China iwa connected wakihofia biashara itakayawezeshwa na miradi ya Silk Road!
Mm najua mmarekani na mchina hazihivii mm nachojaribu kusema ni kuwa kama mradi una munafaa kwetu na hutatuingiza kwenye mtego wa madeni kama Zambia hamna tatizo mama atie saini bila kufungamana na upande wowote ule cha muhimu ni maslai ya mtanzania yanazingatiwa
 
Yah tutakua na adavntage pia badala mizigo ya West Africa kuzinguka mpaka sauzi itakua inaweza kupitia Dar then insafrishwa mpaka kinshasa kwa reli alafu inapakiwa kwenye meli yani bandari ya Dar itakuwa bonge la dili ila sasa mpaka iyo sgr ifike kinshasa sio leo 😅😅
Kwa hivyo kwako unafikiri rail transport ina costs sawa na marine transport?
 
Sio upinzani wewe tumbili Mzee bali ana offer mbadala wake kwa sababu za geopolitics something which is good..

Nchi zote zilizo ji associate na US ziliendelea kama South Korea,Japan,Ulaya nk kinyume na China ambae ni tapeli na anaingiza wenzie mkenge.
Kabisa. Uchumi wa Ujerumani umejengwa na US,ebu angalia Eastern Europe ni nchi gani iko vizuri sana kiuchumi zaidi ya Germany? Zile zote ambazo zilikuwa na Soviet uchumi wao uliyumba na ndio maana hawataki kubaki na Russia wanataka kujiunga na nchi ambazo ziko na Mmarekani.

Russia alishatoa msaada baada ya anguko lake miaka ya 90? Hata huko nyuma ulikuwa ni msaada wa silaha tu na siyo pesa kwa ajili ya kujenga uchumi.
 
Vitu vinaanzaga hivi mara paah Turkey is to finance Uganda-Tanzania electric SGR!
Itapendeza,

Walianza na ku revamp Mwanza-Port Bell line. Na tayari imeleta faida ya kushusha gharama za usafirishaji na kupunguza muda wa bidhaa kukaa njiani.

Wakipata deal la kuunga SGR kutoka Mwanza to Kampala will be a cutting edge and game changers to logistics operations along East Africa and Great lakes regions.

Na pia I can see the possibilities ya mambo hayo kutokea. Mturuki ame blend policies za Ulaya na Mchina katika kutafuta masoko na uwekezaji Afrika. Hivyo yuko katika high peak kushinda deals kubwa kubwa za uwekezaji.
 
Tatizo sio wachina tatizo ni viongozi wetu jpm sio mjinga kuukata ule mkataba wa kwanza akati kikwete alikua ashatia kalamu
Ndio maana nikasema wauweke wazi ili utazamwe upya kama kuna vipengele cha unyonyaji viondolewe. Ingekuwa vizuri zaidi kama wangeupelek bungeni ujadiliwe.
 
Uwezo wangu wa kielimu ni mdogo kushinda wako katika kuhoji miradi yenye maslahi ya Taifa. Kwa elimu yangu ndogo inanifikirisha kinachoendelea Srilanka.

Kuwa na elimu ndogo hainifanyi nisiwe na chaguo la kuandika au kuhoji na kushauri.

Wenye elimu kubwa kama wewe huwa hawatukani wala kujisifiwa bali huwasaidia wenye akili ndogo kuwaongoza.

Elimu yako kubwa uliyonayo inaonekana kwa jinsi ulivyo katika kuongea, uwezo wa kuvumilia, kustahimili mawazo ya mengine.

Kama elimu yako ni kubwa kunizidi usingejibu kwa kejeli na maneno ya shombo kama haya. Unaweza kujaza server za Jf kwa matukano na maneno kama haya lakini sitaweza kukutukana hata neno moja ndivyo elimu yangu niliyoipata inavyanielekeza kuishi kwenye jamii ya watu wenye mtazamo tofauti na wangu. BRI baki nayo mwenyewe sina haja nayo tena kwasababu hata nikiisoma sitaielewa kutokana na upeo wangu na elimu yangu ndogo niliyonayo.
Mkuu ingawa mm na wewe tunatofautiana kimawazo kwenye ili swala ila siku zote nchi yoyote ikiwa na vingozi makini na wanaojali maslahi ya wananchi wao hakuna haja ya washahuri, wote hao mmarekani na mchina kila mmoja anavutia kwake cha muhimu ni viongozi wetu kuwa makini
 
Back
Top Bottom