eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,780
- 16,455
Wewe punguza jazba. Mimi sio mjinga unavyofikiri. Hizi pipelines ni za EACOP, hizi sio pipelines na vifaa vya Tilenga na Kingfisher. Kuna miradi mitatu ndani ya Uganda. Kuna sehemu ndogo ya EACOP ambayo ipo ndani ya Uganda na pipeline zote za EACOP zinafanyiwa coating Tanzania kisha baadhi ya hizo pipeline zinakuwa transported to Uganda. Sasa cha kushangaza nini hapo?
Upande mwingine kuna miradi ya KIngfisher na Tilenga ambazo ni separate projects na vifaa vya hizi miradi tayari hata sasa hivi tunavyozungumza zinakuwa imported kutumia Mombasa port. Ujenzi wa Tilenga unaanza kisha Kingfisher utafuatia baadaye.
Sasa kwani ubaya uko wapi kama nanyie mtaambulia angalau kidogo? Unataka kituambukiza roho mbaya kama mliyo nayo!!??
Maana umemwaga povu siyo utani!!
🤣 😀
