Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tangu lini Mmarekani akatoa ushauri kwa mradi wa Mchina halafu tukaona matokeo mazuri! Wakati mwingine common sense iwe ndani yetu! Mama awe makini hapa!
Marekani anakumbuka shuka kumeshakucha hata Europeans ndio wanashtuka sasa na kuanza kutafuta energy supplies na madini from Africa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Japo hata mimi sijaelewa logic ya hilo but nafikiria anaweza toa ushauri kwa upande wa serikali yetu kuwa makini na Wachina.

Hiyo Bandari haitawanufaisha Wachina pekee na Wamarekani pia..

By the way statement inasema kama tukitaka , nadhani wahusika watazingatia hili la kuwa makini.
Hata wafaransa wameomba kushiriki kwenye hiyo port pia.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hata wafaransa wameomba kushiriki kwenye hiyo port pia.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Diplomasia ya Uchumi inafanya Kazi👇

Screenshot_20220512-144637.png

Screenshot_20220511-093123.png

Screenshot_20220511-093026.png
 
Ndio maana kuna option ya kigoma port na kalema ambayo is more secure and cheap
Hii ni sawa, lakini kuna mchoro niliona ramani inakwenda kuunganisha reli na Atlantic ocean.Hapa wanataka wasafirishe mizigo yao kutokea Asia to America.

Swali langu miumdombinu ya Congo kama unavyoijua milima, mabonde, mito na hilo la misitu minene. Kwenye uwekezaji mtaji huo tunao nchi zetu hizi, na je italipa mapema kama itaweza kujengwa?

Ila kwa kuwa serikali zote 3 zimefanya majadiliano na kuamua kufanya hili jambo na japo bado sijajua ni hii ya Kalema au ya kuingia ndani mpaka kwenye ile Peninsula yao ambayo iko Atlantic ocean uenda feasibility study imekuja na matokeo chanya.
 
Mdogo mdogo tutaelewana tuu.View attachment 2221704

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hapa hata mimi ninasupport kuliko kuwaachia Wachina peke yao ndio wafanye maamuzi hawa macho madogo usipokuwa makini utajikuta nchi imeshauzwa. Wana mikataba mibovu wakishirikiana na viongozi wetu ambao ni borgus,wala rushwa, wenye tamaa wanajijuta wamesaini bila kusoma kwa kuwa wamepenyezewa cha juu.

Viongozi wa hivi hawanaga maslahi na wananchi wao wanajiangalia wao na familia zao tu huku nchi ikipoteza rasilimali n kuharibu uchumi, wanawaacha wananchi kwenye lundo la umasikini

Wazungu hawaleti mikataba mibovu asilimia kubwa ni viongozi wetu kwa tamaa zao za kijinga na ulafi ndio hubadili na kutengua kanuni ili wajinufaishe wao.
 
tangu lini Mmarekani akatoa ushauri kwa mradi wa Mchina halafu tukaona matokeo mazuri! Wakati mwingine common sense iwe ndani yetu! Mama awe makini hapa!
Me nassuport waje watoe ushauri ikibidi hata wafanye uwekezeji wachina wanatuchezea sana. Tangu mwanzo Mmarekani alishasem wachina wanawaingiza mkenge Waafrika kwenye mikataba hivyo wawe wanaiweka wazi.
 
Japo hata mimi sijaelewa logic ya hilo but nafikiria anaweza toa ushauri kwa upande wa serikali yetu kuwa makini na Wachina.

Hiyo Bandari haitawanufaisha Wachina pekee na Wamarekani pia..

By the way statement inasema kama tukitaka , nadhani wahusika watazingatia hili la kuwa makini.
Me siafiki wachina kubaki peke yao n sioni tatizo wao kutoa ushauri labda wamenusa upigaji ndio wanaonelea kuja kutoa ushauri. Kumbuka huu mradi ulishaleta kizungumkuti
 
ichoboy01 Putin alivamia Ukraine kwa kisingizio kwamba Ukraine ilitaka kujiunga na Nato. Putin alisema kwamba hataki nchi jirani zijiunge na Nato. Sasa Finland ambayo ni jirani ya Russia imeamua kutuma maombi ya kujiunga na Nato. Kitu ambacho Putin anakichukia zaidi kinafanyika. Wacha tuone kama atavamia Finland. Finland wana military hatari sana. Russia hawawezi kudhubutu kuwavamia. Kuna uwezekano mkubwa kwamba Sweden pia itajiunga na Nato.

Kumbuka mwaka 1941 waliwahi kupigwa na hiki kinchi mpaka wakakubali yaishe kwa kusign mkataba wa amani hadi Hitler akamdharau Stalin na kuamua kuanzisha vita naye Operation Barbarosa kumtoa Poland mahali walipokuwa wamewekeana mkataba wa amani na Soviet wa kuigawanya Poland katikati.

Sasa hapa Putin anaweza kutaka kulipiza kisasi, sasa je ataweza au atadhalilishwa tena? Maana hata Ukraine angekuwa mbabe kama tulivyokuwa tunamjua kabla ya vita angeshamaliza vita kitambo sana. Ngoja tuone maana UK amesema atatoa msaada wa ulinzi kwa Finland na Sweden.
 
Marekani anakumbuka shuka kumeshakucha hata Europeans ndio wanashtuka sasa na kuanza kutafuta energy supplies na madini from Africa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Walijisahau sana na kuona kwamba wakiwekeza miradi mikubwa mikubwa kwa Waafrika labda watanufaika sana , hasa Ulaya sasa ndio wamejua makali ya kutegemea sehemu moja kwa wenzao waliostaarabika. Wazungu nao sometimes wana wivu.
 
With construction of the pipeline expected to start from Tanzania, the steel pipe will be imported into the country and transported to a coating plant in Nzega District, where it will receive a thermal insulation coating, the company said.

The French logistics giant added that the transportation of the entire project cargo within the two countries will exceed 30 million truck kilometres, under the strictest health, safety and environmental standards.

Bado unajiaminisha pipelines zitapita Mombasa? 🤭 🤭 🤭 😀😀😀😀😀👇👇👇👇
CC: Tony254

Hatujengagi white elephant ports
 
Hii ni sawa, lakini kuna mchoro niliona ramani inakwenda kuunganisha reli na Atlantic ocean.Hapa wanataka wasafirishe mizigo yao kutokea Asia to America.

Swali langu miumdombinu ya Congo kama unavyoijua milima, mabonde, mito na hilo la misitu minene. Kwenye uwekezaji mtaji huo tunao nchi zetu hizi, na je italipa mapema kama itaweza kujengwa?

Ila kwa kuwa serikali zote 3 zimefanya majadiliano na kuamua kufanya hili jambo na japo bado sijajua ni hii ya Kalema au ya kuingia ndani mpaka kwenye ile Peninsula yao ambayo iko Atlantic ocean uenda feasibility study imekuja na matokeo chanya.
Wacha nikufundishe kitu kidogo tu kama utaniruhusu. Reli kutoka Indian Ocean hadi Atlantic ocean kupitia DR Congo haiwezi kujengwa na hata ikijengwa, haiwezi kutumika sana kwa sababu kiuchumi safari kutumia maji ni much cheaper ikilinganishwa na safari ya kutumia reli. Kiuchumi kuna hii step ladder ya costs inayohusu different modes of transport. The cheapest mode of transport ni pipeline transport (lakini tatizo ni kuwa bidhaa nyingi haziwezi kusafirishwa kutumia pipeline) ikifuatiwa na water transport, ikifuatiwa na rail transport, ikifuatiwa na road transport, ikifuatiwa na air transport. Kwa hivyo siku zote kutumia Suez Canal ni cheaper kushinda kutumia reli.

Kama Suez Canal itafungwa kwa sababu moja au nyingine basi kuzunguka kusini mwa Afrika kupitia cape of good hope na kupanda juu kuelekea Nigeria kisha kuzunguka maeneo ya Morocco kisha kuingia Europe bado ni cheaper kushinda kutumia reli. Wanabiashara wanaoshughulika na logistics wanachozingatia zaidi ni cost of transportation. Wachumi kazi yao ni kucalculate na kuadvice hizi kampuni watumie mode gani ya transport ili kupunguza cost of transportation. Reli itatumika tu ikiwa option ya kutumia usafiri wa maji haupo.
 
Bado unajiaminisha pipelines zitapita Mombasa? 🤭 🤭 🤭 😀😀😀😀😀👇👇👇👇
CC: Tony254

Wewe punguza jazba. Mimi sio mjinga unavyofikiri. Hizi pipelines ni za EACOP, hizi sio pipelines na vifaa vya Tilenga na Kingfisher. Kuna miradi mitatu ndani ya Uganda. Kuna sehemu ndogo ya EACOP ambayo ipo ndani ya Uganda na pipeline zote za EACOP zinafanyiwa coating Tanzania kisha baadhi ya hizo pipeline zinakuwa transported to Uganda. Sasa cha kushangaza nini hapo?

Upande mwingine kuna miradi ya KIngfisher na Tilenga ambazo ni separate projects na vifaa vya hizi miradi tayari hata sasa hivi tunavyozungumza zinakuwa imported kutumia Mombasa port. Ujenzi wa Tilenga unaanza kisha Kingfisher utafuatia baadaye.
 
Wewe punguza jazba. Mimi sio mjinga unavyofikiri. Hizi pipelines ni za EACOP, hizi sio pipelines na vifaa vya Tilenga na Kingfisher. Kuna miradi mitatu ndani ya Uganda. Kuna sehemu ndogo ya EACOP ambayo ipo ndani ya Uganda na pipeline zote za EACOP zinafanyiwa coating Tanzania kisha zinakuwa transported to Uganda. Sasa cha kushangaza nini hapo?

Upande mwingine kuna miradi ya KIngfisher na Tilenga ambazo ni separate projects na vifaa vya hizi miradi tayari hata sasa hivi tunavyozungumza zinakuwa imported kutumia Mombasa port. Ujenzi wa Tilenga unaanza kisha Kingfisher utafuatia baadaye.

From ur media BusinessDaily!

Bolloré will oversee the shipping, clearing and storage of construction materials and items from the various sources where they are imported to the main project discharge port in Dar es Salaam, Tanzania, and thereafter transport them to multiple worksite locations in Tanzania and Uganda.

MY TAKE
Preparing the Mombasa port to receive cargo and receiving the crude oil pipes cargo r two different things! All the pipes will need to be coated before being allowed to be used in the pipeline construction and the only coating facility in East and central Africa is in Nzega in Tabora region of Tanzania!

Nzega district in Tabora region
tanzania-political-map.jpg

Mama icing the cake with Museveni!
 
Back
Top Bottom