ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,145
- 3,333
M
Mmarekani anataka kutia kitumbua cha mchina mchanga, anaona mchina anakwenda kutawala maeneo mengi ya kibiashara ktk AfricaHapo ni mvurugano kwenda mbele hawa wawili hawaendani ni washindani daima!