Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mdogo mdogo tutaelewana tuu.
Screenshot_20220512-152556_Facebook.jpg


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
tangu lini Mmarekani akatoa ushauri kwa mradi wa Mchina halafu tukaona matokeo mazuri! Wakati mwingine common sense iwe ndani yetu! Mama awe makini hapa!
Japo hata mimi sijaelewa logic ya hilo but nafikiria anaweza toa ushauri kwa upande wa serikali yetu kuwa makini na Wachina.

Hiyo Bandari haitawanufaisha Wachina pekee na Wamarekani pia..

By the way statement inasema kama tukitaka , nadhani wahusika watazingatia hili la kuwa makini.
 
I asked you a very simple question na sijui ni kwa nini unashindwa kujibu. Ulisema bidhaa zenu zimejaza shelves zetu, hebu nitajie tu tano kati ya hizo bidhaa. It's that simple bongolala
Maneno mengi ya nini Mzee,namba ndio zinaongea 👇

Screenshot_20220511-231148.png


Screenshot_20220511-151229.png


Screenshot_20220511-151311.png
 
ichoboy01 Putin alivamia Ukraine kwa kisingizio kwamba Ukraine ilitaka kujiunga na Nato. Putin alisema kwamba hataki nchi jirani zijiunge na Nato. Sasa Finland ambayo ni jirani ya Russia imeamua kutuma maombi ya kujiunga na Nato. Kitu ambacho Putin anakichukia zaidi kinafanyika. Wacha tuone kama atavamia Finland. Finland wana military hatari sana. Russia hawawezi kudhubutu kuwavamia. Kuna uwezekano mkubwa kwamba Sweden pia itajiunga na Nato.

 
Back
Top Bottom