eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,780
- 16,455
Hii reli Hakuna nchi Afrika inaweza kuingiza pua kushindana kwa viwango bora labda morocco tu
Naona bado wanateseka tu. Watulie sindano iwaingie.
😝 🤣 🤣
Hii reli Hakuna nchi Afrika inaweza kuingiza pua kushindana kwa viwango bora labda morocco tu
Hapo wako na hali mbaya aki!Ukiona mpaka wamefikia hatua ya kutangaza basi ujue wameharshiwa na covid kweli kweli
View attachment 2221490
Pamoja na haya mapicha yote wewe jua kwamba uzinduzi ni mwaka wa 2024.
Hiyo ni mtoto wa rollercoaster.
Linganisha huo utopolo na huu hapa
View attachment 2221637
View attachment 2221638
Kwenye treni nilishashinda hio battle.Wee mbona tena umekimbia kwenye treni, sikuoni!!?
RT is controlled by the Russia government, you will never see them publish or air any negative stories about the Kremlin. The same applies with CGTN with the Chinese government. CNN, BBC, DW, Al jazeera are private media companies at least they try to be neutral and show both sides of the stories
Hiyo ni mtoto wa rollercoaster.
Linganisha huo utopolo na huu hapa
View attachment 2221637
View attachment 2221638
hii munaitaje kwenu??😂😂👇👇
View attachment 2221635
Can you be kind enough and provide us with the link?
Kwenye treni nilishashinda hio battle.
Tuonyeshe Ferris Wheel hapo Tanzania.hii munaitaje kwenu??😂😂👇👇
View attachment 2221635
labda ulishinda kukaa na njaa 😂😂Kwenye treni nilishashinda hio battle.
ukipata roller coaster kenya nitag na mm nikuoneshe ferries wheel tena ziko zaidi ya 3😂😂😂😂Tuonyeshe Ferris Wheel hapo Tanzania.
Ndio hii Ferris Wheel ya Kenya iliopo Two Rivers mall
View attachment 2221644
Tafadhali usilete huu utopolo kwamba ndio Ferris wheel yenu.
View attachment 2221645
Hiyo ni roller coaster!hii munaitaje kwenu??😂😂👇👇
View attachment 2221635
labda ulishinda kukaa na njaa 😂😂
Hivi usalama wa hii reli utakuwaje maana geographical location ya Congo ni misitu mikubwa yenye wapiganaji wengi wanaoisumbua serikali ya DRC, hawawezi kufanya sabotage na kuharibu huu mradi?
Nmepitia hii documentary ya congo aisee Wakongo wanaiitaji hii reli (sgr) more than anything itakua suluisho ya matatizo yao
hii au kuna nyingine mpya 🤣🤣🤣Aha haaa, yeye anatuletea za watu, badala ya kutuletea ya kwao ile mtambo wa chang'aa ya mama ngina.
roller coaster leo ni ya kishamba kwasababu hamuna 🤣🤣🤣🤣🤣
mbona ipo huku kabla yenu 😂😂👇👇👇
View attachment 2221612
tafuta kama hii ukipata nitag 🤣🤣
hii au kuna nyingine mpya 🤣🤣🤣View attachment 2221648
Basi leo umeonaSijawahi kuona Tanzania ina njaa mpaka ikatangazwa kama janga la dharula.
Naona bado una maumivu ya jana. 😂🤣🤣Hujashinda, lete SGR yenu hapa, halafu na mimi nilete ya kwetu.
😝 😀🤣