dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
VirtualReality ndani ya Rupa's Mall, Eldoret,..
mwanza ama arusha ijikute..... 2050
mwanza ama arusha ijikute..... 2050
Unaweza kutuambia hapo ni wapi!!??Hiyo ni mtoto wa rollercoaster.
Linganisha huo utopolo na huu hapa
View attachment 2221637
View attachment 2221638
Vitu legit ni kama hii. Wachana na hizo zenu za kishamba, zimetengenezewa watoto. 🤣 🤣 🤣
Hii huwezi pata bongo mzima.
kachanganyikiwa tayar mwacheni apumzike 😂Unaweza kutuambia hapo ni wapi!!??
Si ni ukweli kwamba uzinduzi ulisongezwa mbele hadi mwaka wa 2024 ama huna habari? Sasa ukweli umekuwa wivu tena?Siku hizi na wewe umeanza kukuwa na wivu?
asante kwa kusema ukweli kua hamuna roller coaster pole sana 😂😂😂😂Sisi hatuna rollercoaster kwa maana tuliona hakuna haja ya kujenga utopolo kama mliojenga. Nyie hamna Ferris
Wheel hata moja isipokuwa hii bembea ya watoto
View attachment 2221669
Battle jana ilikuwa kati ya bullet train ya Senegal, ya Morocco na ya Tanzania. Sisi hatujawahi kusema kwamba tuna bullet train. Nyie huwa mnaringa kwamba mna bullet train.Leta treni zenu tulinganishe na zetu
Nyie hamna Ferris Wheel.
ukhe khe khe 😂😂👇👇👇👇Hii hata haiwezi zunguka watu wakiwa upside down, ingine ya kishamba. 🤣 🤣 🤣 umeona yetu inazunguka upside down.
As you wishCan you be kind enough and provide us with the link?
This is fabrication.
ww unaonaje hatuna au tunazo 🤣🤣🤣
ukhe khe khe 😂😂👇👇👇👇
Nyie hamna Ferris Wheel.
ukhe ukehe khe 🤣🤣👇👇vitu za kishamba sana, legit hua round and it spins. 🤣 🤣 🤣 🤣 hio yenu imeshikanishwa machuma kama kibanda.
![]()
Anapost swings za watoto, Tanzania mzima hakuna amusement park inaweza kupea thrills, ni swings za watoto tu ndio wakonazo.🤣🤣Nilijua utaweka bembea ya watoto.